Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 4,170
- 10,100
inaweza ikawa nzuri sasa baada ya kukuonaHabari yako kijana
inaweza ikawa nzuri sasa baada ya kukuonaHabari yako kijana
Eeeh kumbe nzuri sana hiiinaweza ikawa nzuri sasa baada ya kukuona
Mnatembea na siku nzuri za watuEeeh kumbe nzuri sana hii
Hii mistari ya enzi ya zamadamu 🤣Mnatembea na siku nzuri za watu
Siku hizi mnakua wagumu sana kupangwa!Hii mistari ya enzi ya zamadamu 🤣
Muda hautoshi nipangane na maisha then tena wewe uje unipange 🙌🏼😅Siku hizi mnakua wagumu sana kupangwa!
Mnataka tuwe strait!!
Chino nimekua mkweli kupitilizaMuda hautoshi nipangane na maisha then tena wewe uje unipange 🙌🏼😅
Unataka kusema kujawahi kuona tena mdada anaandika kwa utulivu kama mimi ya kweli hayo chino ?Chino nimekua mkweli kupitiliza
Nimekua jf mda sasa, lakini ni mara ya kwanza namuona mdada anaandika na akili na utulivu kama wewe. Naomba nikuibie akili kidogo
Nafikiri unapaswa kupewa tuzo za jf watu wengi wanapost ili watu wacheke wewe unapost ili watu wafikiri. Nakufikiri ni ngumu kuliko kucheka ndiomana umewapita wote.Unataka kusema kujawahi kuona tena mdada anaandika kwa utulivu kama mimi ya kweli hayo chino ?
Au ndio uzuri wa kitu upo machoni mwa anaetazama ?
Hayo maneno yako tayari unazua taharuki shauri yako kijana
UnanifokeaHuelewi mambo we tulia😎
Pole wee😁Unanifokea
Pita nelly wa shanty😛Napita....
Asante mremboPole wee😁
Nibless basi siku yangu iwe poa kabla sijaanza kuzungusha mzigo kwenye tanuru la elninoAsante mrembo
Uko poa la mama?Pita nelly wa shanty😛
Oyaa mbona mikazoNibless basi siku yangu iwe poa kabla sijaanza kuzungusha mzigo kwenye tanuru la elnino
Niko poa za siku mingi?Uko poa la mama?
Chino, shukran sanaNafikiri unapaswa kupewa tuzo za jf watu wengi wanapost ili watu wacheke wewe unapost ili watu wafikiri. Nakufikiri ni ngumu kuliko kucheka ndiomana umewapita wote.
Si kwa sababu Unaandika threads nyingi ila kwa sababu zina maana
Wengi wamekuja kutafuta umaarufu wewe umekuja na heshima
Haha ngoja niishie hapa.
Mikazo ipi tena chino wana😆Oyaa mbona mikazo