The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 999
- 2,010
Huku nimening’iniza hii mitungi ya gesi na tumbo langu?🙆🏽♀️Kwenda ukiwa kwenye birthday suit
OraitBuzebazeba huku
Niliweka kuwapunguzia raia stress za kuniwaza🤣Chimama Seran naomba utoe Hilo libichwa la habari 😁 kwenye avatar sjalipenda weka basi hata hiiView attachment 3707895
😁😁😁😁 Litoe banaNiliweka kupinguzia watu stress za kuniwaza🤣
Ngoja nimpumzishe braza chogo wangu😝
OraitaOrait
Lakini mbona zuri tu😝😁😁😁😁 Litoe bana
Aaah wapi libaya linakera kishenzLakini mbona zuri tu😝
Samaki kibao hapoHuku nimening’iniza hii mitungi ya gesi na tumbo langu?🙆🏽♀️
Dahh hivi kweli avatar yangu inakukera nini🤣🤣🤣Aaah wapi libaya linakera kishenz
Wakinivuta mitungi yangu itakuwaje🥹Samaki kibao hapo
We wazuri hujawaona huko lakini kwanini unanikosesha amani ya kujiachia jf😙
hapo sawa mamy tutaongea lugha moyaDahh hivi kweli avatar yangu inakukera nini🤣🤣🤣
Sina uzuri wote cheusi mangala mimi acha kuzua taharuki bwana!🙃Wewe ni miongoni mwa hao wazuri niliowaona. Sasa ukose amani sababu ya uzuri ulionao, au sababu nakusifia?
Dahh! Kwahiyo ile ulikuwa unaniona braza?🙁hapo sawa mamy tutaongea lugha moya
nakupenda leo na kesho peponi 😊