Selfika na JF: Snap it. Show it

Waambie pia wanajua kusugua jinzi na brashi itoe mistari mistari mapajani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Lamz, Lamo, Lamomy momy, mwanamke classic, kiboko ya vigagula, ukifa hauozi, mama la mama pesa kwako makaratasi, fashion killer, usiye na kengeza, mwenye afya tele, kiboko ya roho yangu, mwenye mapenzi tele, rangi ya dubai, sauti ya kumtoa nyoka pangoni.

Embu fanya kunibless na moja mchana huu nishushie na ugali sato my cwt darling.
 

Chivundu Hii Lugz niliigumia maeneo ya Billcanass nyuma ya jengo la RITA mwaka 2019 ๐Ÿคฃ

Enzi tupo school miaka ya 2002 tulikuwa tunamuona Inspector Haroun kavivaa

Lamomy umeiona ndula ya kiume isiyokuwa na sura ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ