Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,615
- 104,816
Mi sijaona rudiaNilipita mbona🤩
Mi sijaona rudiaNilipita mbona🤩
Subiri video sio picha tu 😅😅Wewe sio kukusifia tu, una kitu mahi 😹
Kile Kichuguu sio mchezo 😍
😅😅 wanapendana kwenye umati hovyo kabisa 💔😹😹😹 Basi tu waache mazoea ya kijinga.
Yani wanaona kabisa niko single nna stress afu wao wanakisiana..!!
Weka na mi niweke moja hivi nilikua somewhere 🔥🔥Subiri video sio picha tu 😅😅
Eti jamani? 🥹😅😅 wanapendana kwenye umati hovyo kabisa 💔
tajiri shida yako maneno mingi, weka offer watu tubinjuke 😁🔥😹😹😹 Ngoja niweke offer yangu tuone kama unaweza kufika bei..!!
Yaani ni Waseee kinoma, halafu unajua sisi binadamu tunakinai na hawa Wangeseee tumewakinai kabisa yaani 😔Acha tu, nchi hii ina viongozi wa kisee sana!
Haya pita sasa mrembo