๐น๐น๐นacha izo janja janjaHahahaha, itakua umepitwa, nitupia shati la kitenge ,ki church church leo
๐น๐น๐น๐น๐นpole kwa kuumizwa kwanzaMallerina na babe wako Mtoto halali na hela mnaendeleaje?
Njooni mselfike basi mnifariji dada yenu..!!
Hapa ndo nakupendeag yani ww ukiwekaga hufuti mpaka niiikute๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅณ๐ฅณ๐ฅณHuna ubavu wa kuweka ๐คฃ
View attachment 3706606
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwani ukipiga na kuiacha kuna shidaaa ina maana tukae humu kama Walinzi?
Hio naked iruduwehii naked kabisa, ulisema unanifananisha na nani? spidernyoka
Tutafika muhimu kwa sasa tumempata mpinzani wa kweli..!!Pole sana maa ๐ซ
Huyu mwenda zake apumzike anapostahili
Hili jambo mpaka leo wa zanzabar wamelishikilia na wanalo sana angalia tunapozungumzia mo 29 wao hua wanaweka maoni gani
Pole yetu wote
Fanya siku uandike please
Sheria inabakwa kweupe!
Hata wale ambao hatujasomea sheria tunaona jinsi Lissu alivyoonewa
Dunia nzima imeona
Lakini kwa sababu hawa watu wamedhamiria kufanya wanachotaka, hawaoni hata aibu ilimradi mambo yao yanaenda kama walivyopanga
Naunga mkono suala la Katiba mpya.
Jaji Mkuu anateuliwa na Rais
Hapo kuna nini kingine cha ziada zaidi ya kujiuliza kuhusu uhuru wa mahakama na uwezekano wa kupokea maelekezo?
Na hata hukumu ya juzi ni dhahiri yalikua maelekezo ukiangalia namna nduguru alivyokua anazunguka mbuyu kuja na ile hukumu
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi naye vivyo hivyo Anateuliwa na Rais
Hii Katiba mbovu inayompa mtu mmoja madaraka makubwa ya kuamua mambo ndiyo imetufikisha hapa tulipo
Nyerere alifanya mengi mazuri lakini pia alituachia laana na laana yenyewe ni hii Katiba
Ndiyo maana hata Lema aliposema kwamba Katiba mpya haitabadilisha kitu, nikajua basi hakuna kitu!
Kigumu zaidi ni kwamba kuna baadhi ya wapinzani au tuseme baadhi ya wana CHADEMA ambao wanazunguka mlango wa nyuma na kurudisha harakati nyuma siku hizi wanaitwa madalali
Inasikitisha sana lakini ngoja tuendelee, tutaona mwisho wake
Pole baby girl Lamomy ๐งก
kila nikipita haupo karibu saivi tunapishana tu jamni mpka huzuni ๐ฅHio naked iruduwe
Uzuri wako unapitag naked bila kona kona๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
ngoj spidernyoka aje atairudiaโบ๏ธHio picha irudiwe nipate ushahidi mimj
Kijana mbona pm unaamkiwa ๐น๐นmadem wa kununua hapana aisee bora wewe apo unionee huruma tajiri yangu ๐ฅ
Exactly ๐ฅ๐ฅ๐ฅTutafika muhimu kwa sasa tumempata mpinzani wa kweli..!!
KumekuchaaaaaaaHaya weka kichuguu nifurahi, kitambo hujatupia kipenzi.. ๐ฅ๐ฅ
Niacheee bana sitakiNingekipata kichuguu kama chako ningekua naweka pic kila muda halafu sifuti..!! ๐น
Mniwekee izo picha zilizonipita๐น๐น๐นSijui leo kameenda beach
๐น๐น๐นinabidi niwe mlinzi humu vitu visinipitekila nikipita haupo karibu saivi tunapishana tu jamni mpka huzuni ๐ฅ
si ndio dada ako sina mambo mingi nakusubir na wew ujilipue tu๐๐
Ukifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!Kamkono tu!! Nisafishe nyota
Pita tupooze hasiraUkifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!
njoo niuzie sasa ๐Kijana mbona pm unaamkiwa ๐น๐น
Huruma sio malezi, nikikumbuka zile convo zako na wale waomba pesa pm nacheka sana..!!
naam tajiri huna baya kabisa.!! ๐ฅUkifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!
Manyanza hii mindevu ipruni ki style imesambaa kama sisimizi wanalamba kopo la sukari..!! ๐น๐น๐นHuna ubavu wa kuweka ๐คฃ
View attachment 3706606
Hivo ndo safiiiManyanza hii mindevu ipruni ki style imesambaa kama sisimizi wanalamba kopo la sukari..!! ๐น๐น๐น
Namna gani kamanda!
Piteni tenaTushapita
Chai ๐ ๐Ukifika niambie nipite naked nna hasira leo..!!