Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanini nilikuwaga nakufananisha na Demi🤔zamani
Siendani naye kwa lolote, kwanza namtamani arudi nimfanyie cross-examination..!! 😹

Natamani kuifufua kesi yake, inaonekana alikuwa machachari sana humu jukwaani..!! 😹😹

Nataka nijue aliweza kumpenda vipi ankali wangu mshana na uchawi wake?

Ujue wakongwe kuna vitu navitaka sana kwao..!!

Siku moja demiss ajizime data arudi, mashabiki zake wanamuhitaji na akirudi mi naunga naye urafiki..!! 😹
 
Duh usiwe ivyo na ww headgirl unatubania uhuru sasa humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…