Basiiiii anakupenda liveeeeeeee😍Chivundu hajawahi kunidekeza kwanza hua ananiponda naringa..!! 😹😹
Kuna siku niliselfika sijui nani akanisifia, akajibu chivundu “Maringo yaliyopo hapo sasa” Nikacheka sana 😹😹😹
Sasa je, haya weka vitu 😍Ulinipa adi ya kipini😹😹😍nahisi niliona mwenyewe
Mimi nakutilia maanani ivyo ivyo😹😹🔥Mi mzinguaji hata usinitilie maanani 😹😹
Unamsingizia kwa hilo namtetea chivundu..!!We unamataka Lamomy😹ila hutakubali
Unanikosea 😹😹mimi natka vitu vizuri banaMumeo? 😹😹
Sio kabisaaaaa! Umekosea
Me nishabaki na research yangu😁🥳Unamsingizia kwa hilo namtetea chivundu..!!
Ananiponda, afu ananipenda? 😹😹Basiiiii anakupenda liveeeeeeee😍
🤣🤣ila mnaendana bana sio unafki
Kama yupi? Manyanza? 😹Unanikosea 😹😹mimi natka vitu vizuri bana
Perfect match😍ukiwa mkali anakutuliza afu chat kwa picha😹we headgirl unafeli wapiAnaniponda, afu ananipenda? 😹😹
Hatuendani chivundu mpole mi mkorofi..!!
Mandula😹😹😹amewazidi woteeeeeKama yupi? Manyanza? 😹
Umefeli, hiyo research futa anza upya..!!Me nishabaki na research yangu😁🥳
Acha, unamuharibia kwa mademu zake anaowafukuzia..!!Perfect match😍ukiwa mkali anakutuliza afu chat kwa picha😹we headgirl unafeli wapi
Huyo ndo hapana 😹😹😹Mandula😹😹😹amewazidi woteeeee
Aah. Wewe unatupanga tu Hapa.Tunalima mahindi njoo ushuhudie miujiza mkuu.. mambo ni mengi mno!
Oh, basi tuvumiliane tu shemeji. Wala hata usijali.Kitu sijawahi kufanya ni kukopesha..!!
Mi mwenyewe winga shem niko mabovu 😥
We unamataka Lamomy😹ila hutakubali
We unamataka Lamomy😹ila hutakubali
Atawafukuzia mpaka lini si atupe tu mistari akikataliwa life iendeleeeee🥳😹😹Acha, unamuharibia kwa mademu zake anaowafukuzia..!!
Pic sina nna kiswaswadu..!!