Itabidi iwe hivyo aisee halafu aje umpe na seti ya vijora 😂😂😂😹😹😹 Em mpige malle na kibunda cha 100k kuniprove wrong..!!
WoyooooooooooooooItabidi iwe hivyo aisee halafu aje umpe na seti ya vijora 😂😂😂
Ngoja nitumie emoji yako 😹😹😹Kumbe chatungi 😹😹😹
Wakumpa wampeeee 😫Si niliwaambia mumpe muache kumnyima 😹
🗑🚮Yule anakupenda tatizo humzingatii anaona hasira zake akuchokoze..!!
Na hii pia weka humu diha🗑🚮Wachaga hawajui kutongoza ni masimp msamehe bure..!! 😹😹
😹😹😹😹 Ujue hapa nacheka mpaka machozi ndiomana niliwamiss humu..!!Ngoja nitumie emoji yako 😹😹😹
Wakumpa wampeeee 😫
🗑🚮
Na hii pia weka humu diha🗑🚮
Acha masifa ya kifaaaala basi 😆😆😆Woyoooooooooooooo
Tajiriiiiiiiiiiiii
Nilitaka kushangaa msukuma gani haongi? 😹
Wasukuma ndo kabila la kwanza Tanzania wanaolea na kuhudumia wanawake..!!
Wasukuma igweeeeeeeeeee
Hizo hapo
🫡
🫡
🫡
Wasukuma mlindwe kwa wivu mkubwaa..!! 😍🔥🔥🔥
Wee Mallerina lini unakuja kuchagua vijora? 😹
😍😍 Hapo kwenye mifugo, nipate moo wangu 10 niziuze tayari naenda kufunga mzigo china na uwinga naacha..!! 😹😹Acha masifa ya kifaaaala basi 😆😆😆
Huwa tunatoa mifugo sisi
Sema nini unaona mbali sana aisee, 🤝😍😍 Hapo kwenye mifugo, nipate moo wangu 10 niziuze tayari naenda kufunga mzigo china na uwinga naacha..!! 😹😹
Wasukuma bana wanaume, mmebarikiwa kila kitu..!! 🔥🔥
Anabung'aa tuZawadi Mtoto halali na hela anataka kukubless unampotozea unajifanya kama huoni bidii zake..!! 😹😹
🤣🤣usiiogope mbona Mtoto halali na hela anapitaga naked kabisaIli kinilambe
Nimejikuta hii reply naiweke kwenye gallery ya simu yangu😍😍 Hapo kwenye mifugo, nipate moo wangu 10 niziuze tayari naenda kufunga mzigo china na uwinga naacha..!! 😹😹
Wasukuma bana wanaume, mmebarikiwa kila kitu..!! 🔥🔥
Pita basi 😀😀😀🤣🤣usiiogope mbona Mtoto halali na hela anapitaga naked kabisa
😹😹😹utanipa wangapi humu...Zawadi Mtoto halali na hela anataka kukubless unampotozea unajifanya kama huoni bidii zake..!! 😹😹
🤣🤣🤣weka picha ya ushahidiMi nna li babe langu li hansamu balaa afu li genius kazi kwako unayechagua 😹😹
Ina maana anakudalalia ? 😀😀😀😹😹😹utanipa wangapi humu...
Unajua mimi ni mtu mmoja sasa wengine ntamgawia nani?!!
😹kanipenda kama binti yake banaHajanipenda mimi, kakupenda wewe sasa si umkubalie 😹😹
Au sio🤣🤣usiiogope mbona Mtoto halali na hela anapitaga naked kabisa
🤣🤣🤣ila lamomyManyanza kwenye fwezaa naona kabisa OYA yupo mlangoni kwako..!! 😹😹
Hapo ni mikopo ya kausha damu na story nyingi..!! 😹😹
Pita 🔥😍Au sio
Pita na ww😁😁Pita basi 😀😀😀