Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣Tamaa hizo, huyo mjomba ako angekuwa anakaa chanika ungetaka kupiga uwinga? 😹😹
Shangazi ndio tatizo🤣Em niweke kwanza afu mambo mengine yanazungumzika..!!
Ili akanipandishe boda tule mzinga 😹Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣
Shangazi yako hata kiswahili hajui em acha hizo, atajua wote wapwa zake..!!Ningekubembeleza umchujue jumla jumla🤣🤣
Shangazi ndio tatizo🤣
Mpishi wa supu nipo, kisingeharibika kitu😹Ili akanipandishe boda tule mzinga 😹
😹😹 Shangazi ndio ananiweka mjini ujueShangazi yako hata kiswahili hajui em acha hizo, atajua wote wapwa zake..!!
Mbona unanibania utafikiri utaliwa wewe.!! 😹😹
Wanapendana balaa japo lugha gongana😹Kama kazi imekushinda nipe namba za mamaako, najua wifi yangu hawezi kuniangusha..!! 😹🏃♀️➡️🏃♀️➡️🏃♀️➡️
Tayari ipo mkononi naifanyia process nimfuatee Maghayo .Una passport mwanetu? 😹
Hapo bora ujishushe kwa maghayo akufanyie mpango uende mkasaidiane kulea wazee, hao wengine chatungi na mwenzie sio wa kuwahesabia kabisaa..!! 😹😹
Shindwaaaa 😹😹Mpishi wa supu nipo, kisingeharibika kitu😹
Usingetaka kupiga uwinga kama anakuweka mjini..!! 😹😹😹 Shangazi ndio ananiweka mjini ujue
Usimsingizie wifi yangu ni wewe na roho yako ya kwanini..!!Wanapendana balaa japo lugha gongana😹
Uke wenza raha heka heka piga kelele😅Nitakutoa kishipa sitaki mazoea na babe wangu, stakiii uke wenzaaa 😹😹😹
Ukituua tunaenda kuendeleza penzi peponi we huogopi 😅😅Nyie wote nitawachapa risasi endeleenii 😹😹
😹😹😹 Unataka uke wenza umeaga kwenu binti?Uke wenza raha heka heka piga kelele😅
Nipo lele melee unavyotaka nataka😅🙄😹😹😹 Unataka uke wenza umeaga kwenu binti?
😹😹😹 Naongea na malaika mmoja aende motoni mwingine peponi..!!Ukituua tunaenda kuendeleza penzi peponi we huogopi 😅😅
Kwahiyo huendi kufanya kazi unamfata Maghayo mzichape? 😹😹Tayari ipo mkononi naifanyia process nimfuatee Maghayo .
Maghayo nilimuahidi lazima nimkamate live nipo radhi nichome pesa ili nimsake popote alipo na bahati nzuri nishajua nchi alipo na Kuna mtu wa Jf nimeahidiana nae nikifika nimcheki anipeleke mpaka kwa Maghayo 😂 😆
Ngoja coca aje twende mbinga utaaga mashindano mwenyewe..!! 😹😹Nipo lele melee unavyotaka nataka😅🙄
Usifanye hivyo 🙆♀️😹😹😹 Naongea na malaika mmoja aende motoni mwingine peponi..!!
Tena wewe na kamdomo kako upelekwe motoni..!!
Abegooo🙆♀️Ngoja coca aje twende mbinga utaaga mashindano mwenyewe..!! 😹😹
Karibu kasulu kakaAsante mkuu , nimechoka kukaa umatumbini nataka niwe DayasPora kama wewe japo Lamomy anabisha View attachment 3694153
View attachment 3694154
Aah kaka spider mbona mi nakuona sana!Miyeyusho wewe hauonekan
Zipo tofauti baba kuna cello gripper zimechongoka mbele sio poa😁Cello fine grip au mimi ndo nmesahau
Umehitimu lini hata kutupa mualiko hapana jamani!Tayari Dada nishamaliza masomo nimehitimu sasa kama min -me takribani mwaka huu , hiyo ni kumbukumbu .
Pen hizo karibia chuo kizima nilikuwa nazo Mimi , siku Moja Mwalimu aliniona nayo alifurahi sana akasema nimemkumbusha mbali kwa Pen hizo walikuwa wanatumia enzi zao na akashangaa kukuta bado zipo 😆
Pesa haijawahi kutosheleza😹😹Shindwaaaa 😹😹
Usingetaka kupiga uwinga kama anakuweka mjini..!! 😹
Utaniharibia anko wanguMtoto mdogo Umeanza uchawi mapema, hutaki ankali ako apewe vitru vya kinyumbani mtsiewwww 😹😹
😹😹😹😹Usimsingizie wifi yangu ni wewe na roho yako ya kwanini..!!
Mamaako anataka aitwe aunt na mtoto wa kibongo kama Esma kwa Mond..!! 😹
Anko akilijua hili na undugu anavunja. Anapenda totoz yule😹😹Nipe namba za anko wako kwanza nimuulize hili suala yeye analichukuliaje la wewe kumpanda kichwani? 😹