Selfika na JF: Snap it. Show it

Hao ni chaputa, mwanaume mwenye nguvu zake, anazitunza. Sasa hapo atakusogelea alifika anakokwenda anaenda kupiga punyeto.
Vyovyote nitakavyoeleweka niseme tu
usafiri wa umma nchi Tanzania ni miongoni mwa usafiri wa hovyo zaidi hususani daladala kama umewahi kupanda au hua unapanda utaelewa ninachosema

Kuna boda boda mshikaki ukitangulia mdada utaona jamaa lilisimama muda mrefu linakuja kupanda

Aloo kheri mtu uangalie namna ya kupata usafiri ikibidi uingie mfukoni kwa sisi tusio na ndinga
 

Uwe unakataa kutangulia, mwambie yeye akae mbele umbane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…