Selfika na JF: Snap it. Show it

Hivi bebee wako ni wa wapi? Mbona anaonekana sio? Anakubebeaje hii ndula kwa mtoto mkare km wee?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚? Huyo muache alooo hakufai kabisaa, anaua brand yako mahi, nawee unavaa tu?
Aaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Miaka mitatu naye unadhani rahisiπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ’–πŸ”₯
 
Ewaaaah 😹😹
Mkeka wangu wa pili umetick..

She’s rise lipa namba inakuhusu km mwenzio binti kiziwi..!! Nataka pesa zangu

Mnachezea career yangu ya umbea 😹
Anacheza na akili yako huyo akili mingi anataka kujifanya anakupa ushindiπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…