Sijajua anamaanisha kina nani?Lamomy nini maoni yako ? πππ
Hamna kitu AI kakuchomesha π π
Huu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala niniHuu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
HahahaHamna kitu AI kakuchomesha π π
sasa kama hakuna uhalisia unachokasirika nini?Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala nini
Punguza ka ujuaji kidogo πHahaha
Mbona hata sijakasirika π πsasa kama hakuna uhalisia unachokasirika nini?
Ilikua ni mwaka gani na mkoa gani mkuu ?Nakumbuka niliwahi kuiona sura yako kwenye duka la simu na sio dar ni mkoani..!!
We faaalalaaa mimi ni Bald bhanaa π€£π€£π€£
Just for funMbona hata sijakasirika π π
Nimeshangaa tu wewe kufanya utoto wa namna hii hilo tu bro
Au kama vipi endelea au unasema je?
Mdogo wangu bora umesema πππHamna kitu AI kakuchomesha π π
π€£π€£π€£ just for fun tu brother kiparaWe faaalalaaa mimi ni Bald bhanaa π€£π€£π€£
Hakuna noma tuishiπJust for fun
Watch your tongue carefulPunguza ka ujuaji kidogo π
Anakutoa kituko nikose wifi sikubaliii ng'ooMdogo wangu bora umesema πππ
You too, donβt overstep your boundariesWatch your tongue careful
Nimekuja kugundua humu jf wakaka wazuri hawanaga keleleππ₯π₯π₯
Ila chivundu we wa motoπ₯π₯π€£punguza hasiraKwa hiyo mbulukenge ndio tuna kelele sio! Acha dharau.