ππkweli coca kazi anayoView attachment 3692038
Nisiulizwe.
Shem leo kazi ipo..!! πΉView attachment 3692038
Nisiulizwe.
Tangu useme unapita hupitiπ€£
Coca ni braza?Kivipi?
mbona mnataka kunigombanisha na brother cocastic..?
Yupo vizuri ila pic ajitahidi zionekane vizuri, anatuumiza macho..!!Yani mpaka tuchanganyikiweπΉπΉila yupo vizuri
Kwanini mkuu.?Steve una duka la simu?
Nakumbuka niliwahi kuiona sura yako kwenye duka la simu na sio dar ni mkoani..!!Kwanini mkuu.?
Nimemfungia ndani Leo hatokiShem leo kazi ipo..!! πΉ
Cocaaaaaaaaaa π£
Njoo mumeo halfcast kashafika anapita naked..!!
Hata angekuwa mwanamke sidhani kama angemfikia manzi wangu... niliye naye ananitosha...Coca , ni braza?
Au unampenda unashindwa kumwambia tukusaidie?
Bora ni pichaπΉπΉπΉila sio picha boraYupo vizuri ila pic ajitahidi zionekane vizuri, anatuumiza macho..!!
Sijajua anamaanisha kina nani?Lamomy nini maoni yako ? πππ
Hamna kitu AI kakuchomesha π π
Huu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!
Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala niniHuu ujinga ndo mnafanya watu waache kuselfika, mnatuharibia uzi em kwendeni..!!