binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,778
- 46,835
Dah mate nilikuwa busy Leo ๐๐๐๐binti kiziwi mate kiko wapi? ๐น๐น
Nilikwambia mimi VAR yangu haidanganyi..!!
Si huyo babe wako anakushangaa unavyomuita kaka ๐น๐น
Nakupiga faini ya laki, nakutumia lipa namba uweke muamala kwa kuidhalilisha PhD yangu ya ufukunyuku..!!
Hii ya kuvulia samaki?
Nakwambia watu sio wema humu, wameona watu hatupo wakafanya mitupio.Watu wabaya wanangoja usipokuwepo wanapita Mallerina Mungu hapendi
Utatisha sana kaka...Tulizanaa bwashee, baadae uwe hapa napita naked live.
Kakukana mchana kweupeeee..!! ๐น๐น๐นDah mate nilikuwa busy Leo ๐๐๐๐
Kwamba amenikana ๐คฃ
Mkuu mbona kama umevaa beret..
Career nimecheka sana.Kakukana mchana kweupeeee..!! ๐น๐น๐น
Nakutumia lipa namba, sipendi mtu anayecheza na career yangu kwa kuni prove wrong..!!
Nimepatia sema hutaki tu kunipa mpunga wangu..!! ๐นCareer nimecheka sana.
Met siku ukipatia VAR nakupa laki 2 ๐๐๐๐
Kazi ipo leo ๐น
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃduh๐นPic mbona haionekani vizuri?
๐คฃ๐น๐น๐น๐น
Wee mwenzangu umeona?๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃduh๐น
๐au simu yake ndo ilivyoWee mwenzangu umeona?
Unazingua ๐๐๐คฃ๐น๐น๐น๐น
Tangu useme unapita hupiti๐คฃUnazingua ๐๐