ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,776
- 48,541
Hebu nisongeshee hata 100k nipendeze sikio liache kukaa uchi mambo gani haya kudhalilika π πMi nna kipini na masikio nimetoboa juu na chini..!! πΉπΉπΉ
Toboa masikio, kachongeshe hata gram 1 bana, mrembo unakosaje kuvaa hereni?
Muhimu, umeona mimi Navaa bracelet na saa kwa wakati mmoja..!! Na kipini juu πΉπΉWardrobe ya mwanamke anaejipenda lazima iwepo droo ya vitu hivyo. Ni sawa na mwanaume jitahidi kuwa na saa nzuri, kiatu kizuri na unukie vizuri.
nipe account nikuweke chapa ukafanye shopping then uje tuyajenge πHebu nisongeshee hata 100k nipendeze sikio liache kukaa uchi mambo gani haya kudhalilika π π
Kwahiyo sisi hatujipendi ?Wardrobe ya mwanamke anaejipenda lazima iwepo droo ya vitu hivyo. Ni sawa na mwanaume jitahidi kuwa na saa nzuri, kiatu kizuri na unukie vizuri.
Chivundu kakwambia akupeleke sonara bill kwake naona unamkwepa..! πΉHebu nisongeshee hata 100k nipendeze sikio liache kukaa uchi mambo gani haya kudhalilika π π
Amesema wapi π πChivundu kakwambia akupeleke sonara bill kwake naona unamkwepa..! πΉ
π π π ππΌHajapata tuu mwanaume mpenda hereni, bracelets, ankles and necklace aka mfundisha vitu hivyo.
Anatakiwa apelekwe kwa Sonara. π
Pandisha huko juu katoa offer πΉπΉAmesema wapi π π
Amesema natakiwa kupelekwa sio anipeleke woiiiiPandisha huko juu katoa offer πΉπΉ
Wewe ni nani tenaπnipe account nikuweke chapa ukafanye shopping then uje tuyajenge π
I'm serious
Muhimu, umeona mimi Navaa bracelet na saa kwa wakati mmoja..!! Na kipini juu πΉπΉ
Chain, pete na napenda kunukia kuliko chochote..!
π π π ππΌ
Mnajua kunivua nguoπ
Una chambaaa hakyamungu lol πMwanamke ni namna anavyojiweka, haiba yake, exposure, mavazi yake na namna anavyojichulia, na hivyo hivyo ndivyo anavyotazamwa na wanaume.
Ukiwa na haiba flani na kuji position vizuri, hata wanaume unapata wa sawa na hadhi yako.
Una chambaaa hakyamungu lol π
Mie niulize kutupia raba na jeans na nywele ndio vitu vyangu π₯π₯π₯π₯
Nadhani mshikaji wangu anapenda hizo pigs japo sometimes natinga hata buibui sikaririki
Aise
Efiyuumomenti letaTupe basi kapicha ka baibui.. π
Nimebembeleza Toka asbhWe ulikuwa wapiππ€£