spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,759
- 23,207
Na kuna mikoba ya wacolombiana ndo ztakufaahivo ndo vya kusambazia umbea
Binti kiziwi namletea sketchers ya Y1400π
Masikini mimi sijui hata kinachoendelea ππLimeishaje? Au ShesRise_1 ameshafukunyua data base yake?
32Mtoto
Mimi aninatie tu binti kiziwi nmechagua hiloMallerina ni mali mkuu, sema ananata sana. π
Haya basi weka mguu tajiri auone aweke sneaker yako kwenye πIgweeeeeeeeee πππ
2face ile nyimbo yake ya African queen wewe ndo ulitakiwa uwe vixen π₯π₯
Yani Mond anahangaika nchi zingine kututia aibu wakati visu vipo hapa hapa bongo..!!
Yule Simba kweli au paka shume? πΉ
Tupo rika moja
Ulikua una ufala mwngi!πΉπΉπΉ
Kuna mdada wetu wa kazi mama alikua akisafiri kikazi basi anavusha kibwana chake.
Yeye chumba chake kilikua cha nje.
Ni wale wadada wakubwa sio wadogo, yule alikua na mtoto aliacha kwao..!!
Basi yule bwana akiingia dada anashindwa kujizuia anapiga mikelele hiyo, basi tukawa tunaenda kula chabo..!
Dada anaukatikia sio pouwaa..!!
Halafu kuna style moja alikaa hiyo nouma..!! πΉπΉπΉ
Basi na akili zangu fupi maza akirudi namind kweli, anatunyima kuangalia chudai..!
Steve nyerere kawapiga sana wasukuma na kawapiga Bongo muvi wenzie π
Chino bana chino wana man! π¨Hii ni ndoto ya Kila mwanaume
πΉπΉπΉUkuwadi hautaki tamaa, la sivyo matajiri watashtuka hawakupi kazi tena π
Mshenzi tu yule π
Shindikanaaaa wewe! Mtu akikuchukulia serious anapotea π©
Hivi lini utaacha kuniandama π?Chica Gee na Steve Rogers , hawa ndo wanajikwaa pamoja.
Vitu vyangu kabisa π₯°Tupo rika moja
Tukifanya hivi tutakuwa sawa na wale wa kina penseli and CO, Mi nikimkosa mtu hapa nasubiri tu aweke next time sinaga haraka.
Mi na Shes tuna mambo yetu person kabisa hayahusuani hata na JF
Mtsiewwww πΉπΉπΉhivo ndo vya kusambazia umbea
Binti kiziwi namletea sketchers ya Y1400π
Mimi aninatie tu binti kiziwi nmechagua hilo
Hivi lini utaacha kuniandama π?
Kuna mda unaishiwa maneno mkikuu! Nini useme. HahahaChino bana chino wana man! π¨
Una matope mpaka nioge kesho πΉHaya basi weka mguu tajiri auone aweke sneaker yako kwenye π
Kama ulivyoishiwa maneno kwa Lamo, Shauri yako watakuwahi nyakunyaku wamnyakueπKuna mda unaishiwa maneno mkikuu! Nini useme. Hahaha