ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,405
- 47,810
Au umelewa leo mkuu π πSasa macho hayana pazia. Uzuri ulionao ndio utakao tuleta PM. π
Upo mtraco tena wa kwendea haswaaa π₯π₯Binti muongo huyu mtu akija hapa utasema kulikua na mtracooπ π ππΌ
Msema kweli mpenzi wa Mungu, uongo mi sitaki! πΉMbinguni utafika mate lakini hoiiiii π
binti kiziwi unasubiri nkitoka ndo unapita doh ndo hutak nkuoneUngekuwa mke wangu, ningekuzawadia kidani safi "necklace" kama asante ya picha hii nzuri ajabu! Le coeur de la mer..
Dagaa wa huku mhhhhh π
Mademu wengi wenye akili hua wabovu!! Ila kwako tofauti ujue.Hakunaaa ushindweeee
Itakua πΉπΉπΉNisipokusoma wewe ntamsoma nani mwingine.
Asije akawa makata anaweka uzibe anaichapa ndotoni then anatupulizia gundu kina chino.
Maana na yenyewe Yana wivu hayo
Haaaaaaa ngoja nikagugo maana ya hayo maneno ya kifaransa.Ungekuwa mke wangu, ningekuzawadia kidani safi "necklace" kama asante ya picha hii nzuri ajabu! Le coeur de la mer..
Au umelewa leo mkuu π π
Nmeona migebuka utak labda nijarbu dagaaDagaa wa huku mhhhhh π
Sasa itabidi nije inbox mambo yashakuwa mengi we kila saa unapitwa bwana! ππbinti kiziwi unasubiri nkitoka ndo unapita doh ndo hutak nkuone
Mkikuu habarike hahaha!Haha Chino bana, Ni mkikuu, mnyampaa ni wa kiume.
Unipe buku nimekufundisha ki kwetu ππ
Kaka Chivundu hizi ndo rangi znazotaka kukutoa roho π₯ π₯ π
Unitaki tu Z anto unanicropSasa itabidi nije inbox mambo yashakuwa mengi we kila saa unapitwa bwana! ππ
Hahaha nani kakufundishaa, umetisha sana!Mkikuu habarike hahaha!
Hua hamna shughuli ndogo nyie
Umeanza ku-confess mapema hizi rangi zitakuua πUngekuwa mke wangu, ningekuzawadia kidani safi "necklace" kama asante ya picha hii nzuri ajabu! Le coeur de la mer..
Huna baya Legend πBK, nitakupa kidani bila wewe kufanikisha lolote. Usijali. π
Uoga tu hahaItakua πΉπΉπΉ
Mtoto wa mamaangu huyo na macho yake mazuri πππChino ishi humu mwanangu nadhani
Hii ni last picture ku selfika baada ya sita selfika tena
Lamomy
binti kiziwi
capachino
Hivi ndio naaga jukwaa la selfikaπ₯π₯π₯
Tutakutana huko jukwaan
Wote na waalika kwenye nyuzi zangu ππ