๐น๐น๐น Huyo unamuamini?Ndio, zile ndio pigo unazo sasa. Tajiri yangu Steve Rogers yupo sahihi kukufananisha na Nicole Scherzinger.
JichanganyeSiku zote kwenye shughuli mgeni rasmi ndo hua anamalizi shughuli
Mchelewaji ๐ Afu juzi nilikuwekea picha ulikuwa pekeyako mtaa huu!Sema itakuwa ubatili bila kublesiwa na binti kiziwi
Wewe tena? ๐นMiongoni mwa vitu ambavyo sijawahi choka kuviangalia toka zama na zama;
Labda kama ulianza mambo mapema, ama sivyo hapo ndio penyewe hapo!!
Mi nikajua ankali wa miaka 45 watu wa JF kwa kujifanya wazeeee! ๐๐๐ป
Pita bhana nikuone mtoto mkareee..!! ๐Jeuri hiyo natoa wapi kupita mbele ya wakubwa zangu ebooooooo๐ ๐
Makali yapi unataka? ๐นBinafsi najiona sina makali niliyokuwa nayo kwenye late 20's and mid 30's. ๐
๐น๐น๐น Huyo unamuamini?
Anachangamsha kijiwe..!!
Haya selfika sasa..!!
Wataachaje kukuona babu na umejiita chivundu na wewe ๐Watu kibao humu JF, wanajua mimi bonge la dingi, labda nina 45 au 50. ๐
Mi yanki tuu, ukiniona huwezi amini.
Kuna mtu nimewahi kutana nae ni mshikaji, alishangaa sana. ๐
JF kila mtu anajifanya mzee ๐น๐นAkwendeee ๐
Mkuu kumbe ni kijana mdogo kiasi hichi ?Ni kweli, lakini mimi nipo kwenye late 30's, mambo yashakuwq mengi. ๐
Selfika leo, hiyo siku nyingine pia utaselfika ๐นMimi nitaselfika siku nyingine. ๐
Binti kiziwi atanilamba vibao ๐ ๐Pita bhana nikuone mtoto mkareee..!! ๐
Pisi ya muda wote
Umekula mtongozo Kila Kona nikasema niwe mvulivu; atalegeza kamba tu;ili huku naye chino apate lala vizuri!Wewe tena? ๐น
Hawezi pita, mbona yeye kapita na alikwambia pita hapa..!!Binti kiziwi atanilamba vibao ๐ ๐
Alafu madingi tuna act masela jf Raha sanaWatu kibao humu JF, wanajua mimi bonge la dingi, labda nina 45 au 50. ๐
Mi yanki tuu, ukiniona huwezi amini.
Kuna mtu nimewahi kutana nae ni mshikaji, alishangaa sana. ๐
Twende second round hiyo nimesha-miss.Mchelewaji ๐ Afu juzi nilikuwekea picha ulikuwa pekeyako mtaa huu!
๐น๐น๐น Chino selfika basi leo..!!Umekula mtongozo Kila Kona nikasema niwe mvulivu; atalegeza kamba tu;ili huku naye chino apate lala vizuri!
Kama kawaida yangu mzee wa patient
Wataachaje kukuona babu na umejiita chivundu na wewe ๐
Mwenyewe nilidhani mbabu mpaka nilivyofatilia chat zako nikajua mhm huyu sio jenizi ni mileniaaa๐
Kwanza yuko wapi kama hayupo nipite chap kama upepo๐Hawezi pita, mbona yeye kapita na alikwambia pita hapa..!!
Em tuonyeshe uumbaji huo usitubanie..!!