πππSiko Tena kwenye levo ya boyfriends day mim Niko above thatπ
Mtoto unavidole lain hivi unaweza kuvunja ata biskuti kweli
ππππ
Tajiri unaishi πππ₯π₯
Tina ni rafiki Yako sasa ingekuwaje? Acha Tina ale mema ya nchi banaπTajiri unaishi πππ₯π₯
Countrywide si ungeniwekaga tu kwa tajiri na mimi nile vyakula vya kizungu jamaniβ¦!! π₯πΉπΉ
Wewe bhana mchele wa kamsamba usinikose..!! πΉLamomy kichwa kinauma hapa alafu mapigo ya moyo yanaenda mbio. Hebu tupia Ile Benz hapa nipate kuponaπ
Tina kaondoka, wewe force mambo nipoe hapo niwe Malkia..!! πΉπΉTina ni rafiki Yako sasa ingekuwaje? Acha Tina ale mema ya nchi banaπ
Umenikumbusha ule Michele w tunduma, Hadi Leo bi mkubwa anakuuliziaπWewe bhana mchele wa kamsamba usinikose..!! πΉ
Mi Benz nalitoa wapi na maisha haya magumu?
Vijora vimegoma kutoka hapa nawaza hata pesa ya kula sina..!!
Naona unanikwepa kijanja, πΉπΉUmenikumbusha ule Michele w tunduma, Hadi Leo bi mkubwa anakuuliziaπ
Please weka picha ya Benz nipate kuwa inspired, toka siku ile hadi Leo naiota tu. Please wekaπ
tajiri wap naishi kwa shemeji πTajiri unaishi πππ₯π₯
Countrywide si ungeniwekaga tu kwa tajiri na mimi nile vyakula vya kizungu jamaniβ¦!! π₯πΉπΉ
Tina bado yupo, subiri kuna surprise kubwa sanaπTina kaondoka, wewe force mambo nipoe hapo niwe Malkia..!! πΉπΉ
Nitakupa ya ganji dalali..!!
Salamu zimefika aseeπNaona unanikwepa kijanja, πΉπΉ
Nasubiri mchele huo wa kamsamba..!!
Bi mkubwa mpe hi sana..!!
Mwambie nampenda sana..!! π₯°
Benz sina labda uniweke Kwa Mfalme aniwezeshe..!! π₯
Kwa shemeji kuzuri, basi niunganishe na shemeji yako πΉtajiri wap naishi kwa shemeji π
nitumie ata buku ninywe supu ya kongoro nilale boss wangu njaa kali
Maisha safi tajiri na router ya Voda pembeni..!! π₯π₯
We muongo muongo hutaki nitoboe..!! πΉTina bado yupo, subiri kuna surprise kubwa sanaπ
Ndani wapi ndugu yangu, mi njaa tupu..!! πΉSalamu zimefika aseeπ
Weka hata ndani kidogo tuone maisha ndio haya
astaghfirullah astaghfirullahMaisha safi tajiri na router ya Voda pembeni..!! π₯π₯
Hiyo kifurushi chake cha laki 4
Unatumia Diamond mwenzetu unaunganisha mpaka kwenye ma- fridge..!! πΉ
Weee namie naja uning'ate sikio!Njoo nikupe ubuyu wa motomoto