Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 663
- 1,128
Acha kabisa, embu tupia kapicha tujioneeMie nae nipo kwenye kundi la pisi kali ๐๐๐ alooo
Sina picha wewe kama unayo wekaAcha kabisa, embu tupia kapicha tujionee
Sasa Mimi niitoe wapi, Mimi ntaka nione ulivyo pisi kaliSina picha wewe kama unayo weka
Focus na kilichokuleta mkuuSasa Mimi niitoe wapi, Mimi ntaka nione ulivyo pisi kali
Don't be so serious, huku hatujuaniFocus na kilichokuleta mkuu
๐Don't be so serious, huku hatujuani
Maliza unisambazie na mimi hilo koti la avatar ๐คฃ๐คฃ๐คฃNipite naked sasa
Unataka koti la 80s๐Maliza unisambazie na mimi hilo koti la avatar ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
We mpaka utazeeka kwa kusikitika๐Inasikitisha sana
Viatu virefu sana kwenda mbele
Kwani unauza nini tena ka mshana๐ซขNaomba oda boss๐๐ฟ๐ช๐ฟView attachment 3671337
Sawa niletee fridge ๐Soma jina la kampuni.. Kila kituView attachment 3671340
Yani mchana kweupe๐คฃ๐คฃUnataka koti la 80s๐
Challenge imekupita
Nna laki mbili tu hapa๐๐ฝโโ๏ธNipe bajeti yako