Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,409
- 42,515
Ndiooo, waleteeee
Bila kusahau wana download pichaWanajifanya kudis uzi afu wanakuja kuchungulia kimya kimya wengine wanakuja kivingine huko ni kuteseka!
Umenenepaaaaa umewakaaa nougaaaaa sana lamama ni faiiiyaaaaaa fire π₯ π₯ π₯!
Nimepunguza spidiππ½ββοΈNdiooo, waleteeee
Kwani umeacha ulokole?
Aisee sijapenda! Kunenepaje tenaπ₯Ή wakati hapo ni nafuuππ½ββοΈUmenenepaaaaa umewakaaa nougaaaaa sana lamama ni faiiiyaaaaaa fire π₯ π₯ π₯!
SijspentraaaNimepunguza spidiππ½ββοΈ
Ili uje utufungulie uzi ππππππniko mwenyewe mnibless basi, mie cha upole sina kelele
Wachunguliaji ndio wengi zaidi watu wanajua kujitesa aiseeπKabiiiiiiiiiiiiiiiiiiisa ! Wanajifanya kudis uzi afu wanakuja kuchungulia kimya kimya wengine wanakuja kivingine huko ni kuteseka!
I really need deliverance ππ½ββοΈSijspentraaa
Usipunguze pls
Pamoja na yote we need God
Tafuta somo la self deliverance utubeI really need deliverance ππ½ββοΈ
Sawa mamaa thanks for the good advice! Stay blessed brethren!β£οΈTafuta somo la self deliverance utube
La tbjoshua alifundisha vzr
Jiombee, I understand babgal
π€karibu kipenziSawa mamaa thanks for the good advice! Stay blessed brethren!β£οΈ
Hio mbona iko kitambo sana mamchu wee hujui ??? Mie sasa kuna wananichekesha nikituma wanachukua kumpelekea smari akati tayari anazo zakushatroooo na mpaka kuja kutuma hapa means anaziona vizuri tu na anajua kila kinachoendeleaBila kusahau wana download picha
hahahaha,mimi huyo au? Mtumishi mie na kufungua uzi wapi na wapi?Ili uje utufungulie uzi ππππππ
Kuna watu hawanaga mambo ya kufanya aisee! Humu tupo kwaajili ya kujifurahisha kumbe wengine wamepanga kabisa vyumba wanaishi humuπHio mbona iko kitambo sana mamchu wee hujui ??? Mie sasa kuna wananichekesha nikituma wanachukua kumpelekea smari akati tayari anazo zakushatroooo na mpaka kuja kutuma hapa means anaziona vizuri tu na anajua kila kinachoendelea
ππππHio mbona iko kitambo sana mamchu wee hujui ??? Mie sasa kuna wananichekesha nikituma wanachukua kumpelekea smari akati tayari anazo zakushatroooo na mpaka kuja kutuma hapa means anaziona vizuri tu na anajua kila kinachoendelea
πππhahahaha,mimi huyo au? Mtumishi mie na kufungua uzi wapi na wapi?
Inaonekana nimepitwa na mengi sana
Kuna enye wanajifanya very descent maninazao kumbe ni mbwamwitu walojivika ngozi ya kondoo!!Kuna watu hawanaga mambo ya kufanya aisee! Humu tupo kwaajili ya kujifurahisha kumbe wengine wamepanga kabisa vyumba wanaishi humuπ