Sijui hata Brian Spilner anasemea yupi walai kulikua na HS., na wewe wote mliitwa ma wachunga!!We unamfahamu yupi??
Haha
Eenh! Mbona mambo magumu hivi🙆🏽♀️Nimecheka
Mi bwana vitu navyotumia ni shida sina vitu maalumu
Juice ya bamia ila kwa mwezi km mara 4 hivi
Juice ya vitunguu
Asali kwenye empty stomach asbhi ....
Ila mboga sn almost kila siku ...etc
Kuna wa mbeya, af kuna mwingine, nadhani alikua bagamoyo if am correctHapana sio yulee brian ! Weee unasemea yule wa Mbeya??? But huyu pia kipindi cha naked kweriiikweriii alikuwepo !
Ewaaa.. sasa huyu nimemfananisha na HSSijui hata Brian Spilner anasemea yupi walai kulikua na HS., na wewe wote mliitwa ma wachunga!!
Wala sio kila siku mbona km hizo bamiaEenh! Mbona mambonmagumu hivi🙆🏽♀️
Weee unamsemea yule wa Mbeya nadhani HeavenSenttt ! Huyu pia alikuepo bampa to bampaYule wa kipindi flan ivi, wakati huo uzi wamoto kwelikweli
Ngoja kesho asubuhi nianze hii nitaleta mrejesho!! Seran Ngoja nijaribu hii ya mamchu nione maendeleoNimecheka
Mi bwana vitu navyotumia ni shida sina vitu maalumu
Juice ya bamia ila kwa mwezi km mara 4 hivi
Juice ya vitunguu
Punje 6 za viyunguu swaumu kila siku ..asbh na jioni..
Maji kwa wingi , soda zishanishinda...
Asali kwenye empty stomach asbhi ....
Ila mboga sn almost kila siku ...etc
Basi huyu simkumbuki, namkumbuka Ana na Heavesent. Ana huwa napata notifications zake chache za uzi huu.Weee unamsemea yule wa Mbeya nadhani HeavenSenttt ! Huyu pia alikuepo bampa to bampa
Ohooooooo! Tinsley nadhani kama sijachanganya mafileKuna wa mbeya, af kuna mwingine, nadhani alikua bagamoyo if am correct
Wa bagamoyo ndo tulimuita sana ma mchungaji
Bora supplements au gummies tu🥹Wala sio kila siku mbona km hizo bamia
Hapo vya kila siku ni viyunguu swaumu
Tumia suppliment basi maana naona kumaliza fedha tu wakati vitu vipo
Ngoja niscreenshot hii koment kabisa. Hizo punje za vitunguu saumu natafuna namezqq au natwanga nakula au aje mamchu??Nimecheka
Mi bwana vitu navyotumia ni shida sina vitu maalumu
Juice ya bamia ila kwa mwezi km mara 4 hivi
Juice ya vitunguu
Punje 6 za viyunguu swaumu kila siku ..asbh na jioni..
Maji kwa wingi , soda zishanishinda...
Asali kwenye empty stomach asbhi ....
Ila mboga sn almost kila siku ...etc
Tinsley alikuaga mpole flan ivi.Ohooooooo! Tinsley nadhani kama sijachanganya mafile
Kabiiiiiiisa lamama wacha mamchu anipe prescriptions vizuriNaomba tu usiache kutuletea feedbaq mama, testimony muhimu👌🏽
Seran Brian Spilner hizi ndo naked kweriiiikweriiii sasa mnapitwaaaaa!Ohoooo
Ss upoteze pesa kwa vitu ambavyo vipo available
Ni kuamua tu kujiwekea ka utaratibu ka namna ya kutumia
Mi huwa nameza 3 km.zilivyo asbh na 3a usiku baada ya chakula ishakua routineNgoja niscreenshot hii koment kabisa. Hizo punje za vitunguu saumu natafuna namezqq au natwanga nakula au aje mamchu??
Mzuri jamani😍 uhair🤭Ohoooo
Ss upoteze pesa kwa vitu ambavyo vipo available
Ni kuamua tu kujiwekea ka utaratibu ka namna ya kutumia
🔥🔥🔥Ohoooo
Ss upoteze pesa kwa vitu ambavyo vipo available
Ni kuamua tu kujiwekea ka utaratibu ka namna ya kutumia