Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,137
- 6,234
Ipoo, inazurura tu, imegoma kuzeekaπππjmn who r u....mbona hivi hii id sijaisoma
Nishtue basi
MmhhhhIpoo, inazurura tu, imegoma kuzeeka
Itazame hiyo utagundua ni mzee wa makamoMmhhhh
Ya zamani ipi???
Nm tena kimebadirishwa coca?Hey Wana Selfikaa!! Uzii umepoa, toka App ibadilishwe mmmh.
Uzi haubambi wala nini, ππππ
Angalau wewe unaweza ukawa unanikumbuka humu. Naonekana ID mpyaHey Wana Selfikaa!! Uzii umepoa, toka App ibadilishwe mmmh.
Uzi haubambi wala nini
Hivi kwelii??π€Haya ukuje basi
Ila najua wapo wanachungulia
Zoteππ
zinagoma sijui shida ni nnZoteππ
Anza na casual..ππ½
Jmn sijui shida nn labda ni refresh appZoteππ
Anza na casual..ππ½
Labda mtandao! Refreshzinagoma sijui shida ni nn
Fanya diet lamama unene sio poa kabeeeesa!Ukipata dawa ya kupungua uniambie,