Msalimie sana mwambie nammisi!alikuwa busy sana
Wabheja sana comrade it has been long!
Huko mafichoni hapanaa mambo yote hapahapaFungua pm ninazo hata 100π€£
Those were the better days!Aisee... hii ni maajabu
Leo nimeukumbuka sana huu uzi. Nikakumbuka nyakati mbalimbali tulizopita
Nikakumbuka watu wa nyakati zile
Nashangaa narudi saizi nakuta notification
Haujambo?
wakongwe mambo yashakua mengi . Mara moja moja kama hivi sio mbaya ukapita kutusabahi!Kila nikichungulia naona sura mpya tupu, nakosa kapuanzia napita ivi.
Sikuhizi tumezeeka, badala ya asubuhi kukaa sawa, inatikisika.Those were the best days!
Kama tulikua tunawaza pamoja vilee Fanya jambo asubuhi yangu ikae sawa !
Umeanza lini uswahili wee Brian??? Si mlikubaliana uzee mwisho wapi sijui !!Sikuhizi tumezeeka, badala ya ausbuhi kukaa sawa, inatikisika.
πππππUmeanza lini uswahili wee Brian??? Si mlikubaliana uzee mwisho wapi sijui !!
Tena pita naked kama ileeeeee siku!
Wanaelewa vizuri kiongozi kwani kuna mgeni sasa!!!!πππππ
Ukisema naked vijana wanaelewa? Wasije wakajiandaa kwa connectionπ
Mambo kupokezanaWanaelewa vizuri kiongozi kwani kuna mgeni sasa!!!!
Fanya mambo kabla hawajajaa sasa
YeleuuuuuuuuwiiiiiiMambo kupokezana
Nakusubiri hapahapa
Sijakushinda wewe boss ladyYeleuuuuuuuuwiiiiii
Ndo umenoga hivi wee Brian lol!!! Umekua mkareeeeeeeee π₯ π₯ π₯
Wabheja sana!
Mie hata nina mpya basiii! Ngoja nikuchekie hivohivo!
Awapi!Sijakushinda wewe boss lady
Brian SpilnerAwapi!
Barikiwa nahio legend sina picha mpya
π₯π₯π₯π₯π₯π₯Awapi!
Barikiwa nahio legend sina picha mpya
Hapana camera tu inanijaza.π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Na hapo bado hujasimama boss lady
Una balaa
Shukran sana.
Balaa lako nalijua boss lady, tangu enzi zileeeHapana camera tu inanijaza.
Nashukuru Mungu kwa uhai.Wabheja sana comrade it has been long!
Hakika mungu ni mwema.Nashukuru Mungu kwa uhai.