Selfika na JF: Snap it. Show it

Dahh kwahiyo hapa kukuona tena mpaka liniπŸ˜‚ uzi utapoaa..
Hapana ile niloiweka ndo haikuwa Sawa ilikuwa inaonesha better days we had at selfika kwamba nawadeiz zama zimebadilika sana ni vurugu vita na kutafutana !
 
Hapana ile niloiweka ndo haikuwa Sawa ilikuwa inaonesha better days we had at selfika kwamba nawadeiz zama zimebadilika sana ni vurugu vita na kutafutana !
Ooh dahh nikapitwa miee.. mlienjoy sana enzi hizo eeh? Sijui vurugu huwa zinasababishwa na nini na waanzilishi wanafaidikaje na hizo vurugu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…