Unataka smart aniachie laana sio? Omba ridhaa yake kwanza, nitakupatia mmoja anakata ugali mkavu ileile😁Fanya kunipasia aseee! Nataka yule anaekula ugali ule wa kisukuma kweli kweli.
Kabla huja uzira hu uzi, Ukitaka Kuenjoy ni nipe nikupe! Haya twende kazi!Ila ngoja tu niupotezee huu uzi kama ambavyo nilikuwa siupi kipaumbele zamani ngoja niachane nao,maana siku ukisema uchungulie unakuta mtu ndio kama kajichetua kisha kashafuta, kama mizinguo flani tu hv
Huyo ndo namtaka sasa anisukume kisawasawa!Unataka smart aniachie laana sio? Omba ridhaa yake kwanza, nitakuoatia mmoja anakata ugali mkavu ileile😁
Nipe leo kisha mi next time,ukichomoa ndo yale yale tu bora nichape lapaKabla huja uzira hu uzi, Ukitaka Kuenjoy ni nipe nikupe! Haya twende kazi!
Msukuma utampata na atakuweka kisawasawa ila smart usimgawe yeye awepo tu tumeshawazoea tayari😁Huyo ndo namtaka sasa anisukume kisawasawa!
Smart amenishinda tabia namgawa mimii!☺☺☺
Hiyo ni void! Weka niweke thats how we go..Nipe leo kisha mi next time,ukichomoa ndo yale yale tu bora nichape lapa
Huu uzi ni wa kila mtu kama ulivyo wa usiku wa manane! Ndiomaana unakutana na kila aina za watu, ukiamua kuji isolate ni wewe tu ila haujaundiwa watu fulani! Kila mtu anakuja na kuondoka, kwa hivyo kuwa na amani tu mkuu!Huu uzi uenda una watu wake maalumu wengine tumedandia treni kwa mbele,mwisho tutagongwa bure tujifie
Upo sahihi ila siku zote hakuna ninachoambulia yani ni kama kamari vile😂😂Hiyo ni void! Weka niweke thats how we go..
Huu uzi ni wa kila mtu kama ulivyo wa usiku wa manane! Ndiomaana unakutana na kila aina za watu, ukiamua kuji isolate ni wewe tu ila haujaundiwa watu fulani! Kila mtu anakuja na kuondoka, kwa hivyo kuwa na amani tu mkuu!
Ngoja niende Adobe kwanza 😃Haya pita nikunyamazishe sasa😁
Nasubiri kusukumwa kwahamu kubwaaa😄😄Msukuma utampata na atakuweka kisawasawa ila smart usimgawe yeye awepo tu tumeshawazoea tayari😁
Nasubiri kusukumwa kwahamu kubwaaa😄😄Msukuma utampata na atakuweka kisawasawa ila smart usimgawe yeye awepo tu tumeshawazoea tayari😁
Wasiwasi wako ndio enjoyment yetu humu broski! We ukitaka unanitag na picha nami nakubless biashara tunaifunga! Ukitaka ya kwako iwasubirie waja hayaa! Ila binafsi sisubiri mtu, asiyekuwepo na lake halipo!😎Upo sahihi ila siku zote hakuna ninachoambulia yani ni kama kamari vile😂😂
Muda sio mrefu umetoka kutupia nimekosa muvi,now nipo hapa nakwambia utupie hutaki,je nikiwa sipo si ndio kabisa aaah nachoka mie😂😂
Nakusubiri ujuee😁Ngoja niende Adobe kwanza 😃
Kwakweli angalia tu usisukumwe mpaka kizazi! 🤣Nasubiri kusukumwa kwahamu kubwaaa😄😄
Smart mi hapana hapana aseee amenishinda tabia Hauna nduguyo nimpasie wasogeze life☺☺???
Upo😃Nakusubiri ujuee😁
Wacha aje kutupa mwongozo tuone!Kwakweli angalia tu usisukumwe mpaka kizazi! 🤣
Kwani humu kashamaliza viunga vyote? akimaliza huku kwanza ndio tunaextend margins sasa😅
Kuna masharti humu kama kwa mganga daadeki, anyways naona cha msingi ni kublesiana tu,maana nikisubir napitwa dailyWasiwasi wako ndio enjoyment yetu humu broski! We ukitaka unanitag na picha nami nakubless biashara tunaifunga! Ukitaka ya kwako iwasubirie waja hayaa! Ila binafsi sisubiri mtu, asiyekuwepo na lake halipo!😎
Welcome to the clan!
Nipo njoo!Upo😃
Nasubiri suprise yako😎Kuna masharti humu kama kwa mganga daadeki, anyways naona cha msingi ni kublesiana tu,maana nikisubir napitwa daily
Ntakusurprise