Selfika na JF: Snap it. Show it

Hamna bwana Seroo namaanisha ninachokisema.
Halafu hiyo seroo inatokana na nini mtoto wa chuo wewe?
Wewe unajiona sio mrembo? Toa point kuu 6 kwanini wewe sio mrembo.
Ndio
1. Nina mashavu kama napuliza moto😝
2. Mfupi
3. Keusii tii🌚
4. Napigana ngumi huyoo⚔️🤸🏽‍♂️
5.siwezi kuongea kama binti naongea kama konda
6. Nakula miwa barabarani🙆🏽‍♀️
 
hahaa ingekuwa ni graded essay hapa ungepata zero🤣 unaambiwa uelezee sifa za mwanamke mbaya unaelezea za mwanamke mzuri

Seroo ni jina nililokubatiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…