Selfika na JF: Snap it. Show it

Dr. Mariposa uzi wako mods wamepita nao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Nilijua tu lazima wauripoti tulikuwa tunaenda kuzua taharuki..!!

Mods wangetuacha kidogo mpaka dada yeloo subahi afike kwanza vumbi litimke..!! ๐Ÿ˜น
Yaani wamenikera hatariiii, asa kulikua kuna ubaya gani ile si ni soga tu, hivi nani atakua ameuripoti mwanaume au mwanamkeee au woteeee๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Dada Subahi alikuwepo lazima anasoma kimya kimya
 
Ule Uzi umeripotiwa na mashakunaku wanaona ungetrend wao watasahulika ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sema dada subahi hakuwepo muda ule labda kama alikuwa na parody..!!
 
Naona na uzi wako pia wamepita nao๐Ÿ‘€
Leo mods wana hasira kuna harufu ya ban hapa๐Ÿ˜ƒ
 
Ule Uzi umeripotiwa na mashakunaku wanaona ungetrend wao watasahulika ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Sema dada subahi hakuwepo muda ule labda kama alikuwa na parody..!!
naomba namba za dada subahi nimkanye
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Aloooh..!!
Em waurudishe hakuna lugha mbaya pale ilipotumika..!!
Kumbe mod wanafuta uzi.. ule uzi ume nipa stim na nishampanga mtoto mie namalizia americano yangu hapa na tangawizi nikaone frog anavyokaa.. ๐Ÿฅด๐Ÿฅด nimesoma comment flani kule lazima leo niifyokoe kama sitoipata tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ