Tunajidili namba tatu kivingine leo... Sio tatu kama tatu la hasha bali mara tatu. Tuangalie kwanza jinsi uhai unavyotengenezwa; Makutano ya jinsia mbili tofauti Kutungwa mimba Kuzaa Mfano huu ndio unaotumika kwingine kote kutengeneza roho ama kuumba. Kwenye kiapo cha ndoa unaapa mara tatu...