Watu mlioumbwa jumapili Mungu akiwa amepumzika😃Team J2 ndio ipi hiyo🤣
Hii sio chai ni kahawaWiki hii sitaingia tena selfika ili kichwani nibaki na picha yake tu.
Hakika mkuu🙌Wiki hii sitaingia tena selfika ili kichwani nibaki na picha yake tu.
Mi hua sidanganyi mwananguHii sio chai ni kahawa
Kijana mdogo lala sasa ukueWatu mlioumbwa jumapili Mungu akiwa amepumzika😃
Wewe akuamini nani sasa 🙄Mi hua sidanganyi mwanangu
Mbona naaminika sanaWewe akuamini nani sasa 🙄
Huko lakini mimi noMbona naaminika sana
Sawaa mkuu usiku mwema..Kijana mdogo lala sasa ukue
Nawe piaSawaa mkuu usiku mwema..
Shukran 🙏Nawe pia
😃😃😃😃Macho yako yalimuona Razor kwanza😃😃
Ss si hataki huo mwili😃😃😃Wewe apungue aende wapi
Anatania nahisi 🤣Ss si hataki huo mwili😃😃😃
Anasema ni huzuni
Huenda labda mi naona anajishaua🤣🤣ShesRise_1
Unamuona anasema mwili wake ni mkubwa
nani huyo🤔 tumseme aone aibu🤣Huenda labda mi naona anajishaua🤣🤣
Si wewe umesema mwili mkubwa jamani🙄nani huyo🤔 tumseme aone aibu🤣
ohooo kumbe mie😀😀,,, kwani ni uongo?Si wewe umesema mwili mkubwa jamani🙄