Sanaa ๐ฅฐ, sema huku nilipo nashindwa kuvaaAsante chicca๐
Km we ulivyo mrembo
Unapenda travolta/boots?
Nipo sema si tulihamia wedikapualf usiwe unapotea mda mrefu bwana nakua nakumis mnoo๐ช
Wapi tena ?kuna joto?Sanaa ๐ฅฐ, sema huku nilipo nashindwa kuvaa
Pawa pawa ๐๐Pipoo๐คฃ
Nilipo kuna Joto, but nikiwaga Home kuna baridi navivaagaWapi tena ?kuna joto?
Ujue wewe sijawahi kukuelewa๐คฃ๐คฃPawa pawa ๐๐
Ooh pole hapo kweli nomaNilipo kuna Joto, but nikiwaga Home Mkoa kuna baridi navivaaga
Sentensi yako tata mkuu fafanua๐คUjue wewe sijawahi kukuelewa๐คฃ๐คฃ
Ndiyo maana hapo ni burudani, na ktk hiyo mikoa kuna mmoja ndiyo homeOoh pole hapo kweli noma
Mi arusha, ir na mbeya na dom ndo maana nazivaa sn
Basi tu yaanSentensi yako tata mkuu fafanua๐ค
Yes dihaNdiyo maana hapo ni burudani, na ktk hiyo mikoa kuna mmoja ndiyo home
Enjoy ๐, mimi sahivi navaa sana raba na Open ShoesYes diha
Nili-like tu sijaona chochote, labda arudie.Anihadithie tena?? ๐ฃ Mpaji Mungu
Uongo umeanza lini? AmesharudiaNili-like tu sijaona chochote, labda arudie.
Saizi sioni tena hizi zabibu zinaniletea wenge la usingizi.Uongo umeanza lini? Amesharudia
Nimelia sana ๐Basi tu yaan
Unapenda kuchungulia picha za watu ila wewe huweki hata kidole
Who are you?
Yes huna namnaEnjoy ๐, mimi sahivi navaa sana raba na Open Shoes
Log out kabla mambo hayajawa mengiSaizi sioni tena hizi zabibu zinaniletea wenge la usingizi.
Ngoja nijiondoe tu mchezoni vijana muanze kujianika.Log out kabla mambo hayajawa mengi
Thibisha kama umelia vinginevyo ni chaiNimelia sana ๐
Leo ulikua una vizia uchungulie ila ndioo hivyo๐๐Kuchungulia ni msamiati mkali kwangu maana me sijfichi huwa nashinda hapa napiga story mbili tatu muda uende
Weka leo nione pulizzzzPia huwa naweka nikipiga labda hujawai nibahatisha pia๐
Upo kwenye early 20s join 2017๐Who am i..๐ค kijana tuu nipo kwenye early 20s zangu najiandaa na Ue kesho inaanza mkuu๐๐๐