Moose Bull
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 516
- 1,259
Sijambo babu na nimeshatia timu ndani ya selfikaNimesahau ilikuwa ni ofisi ya Kanda ipi, ila ilikuwa kipindi nafatilia malipo ya pension yangu mwaka 47 π€
Hujambo lakini Mkuu?
Karibu Selfika ππ
Ili tulazimu tuchomekee hivyo ili vijana tunapokwenda maofisini kwao kufatilia pension zetu wasituweke sana kwenye mabenchi π€Wazee mnachomekea balaa
Kuwa na imani na Wazee π€Aaaah,sitaki kuamini.
Nimefurahi kukuona hapa tenaSijambo babu na nimeshatia timu ndani ya selfika
Mjukuu wako nimekua πNimefurahi kukuona hapa tena
Iwapo itakupendeza, tubariki Wazee na picha japo moja
Barikiwa na uwe na siku njema huko ulipo πππ
Nimefurahi kusikia hivyo, Mungu aendelee kukutunza ππMjukuu wako nimekua π
πNimefurahi kusikia hivyo, Mungu aendelee kukutunza ππ
Nitakuwa wa mwisho kuaminiπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ,Kuwa na imani na Wazee π€
Win,nimecheka kule na jibu lako,eti fungu la kukosaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.sijapita siku mingi eeh hebu nijilipue kidogo alf nikaslip
poleee π π ,, mwenzangu mi sielewi kama wenzetu wanapewaga kwa mafungu loh,, ilibaki kidogo niumbuke ndo nikajiwahiWin,nimecheka kule na jibu lako,eti fungu la kukosaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Nmeogopa kuchekea kule.
nionjeshe vitu vya zanz... πPoker njoo huku tunasubiri sms ya maokoto.View attachment 3635453
π€£π€£π€£π€£,Wana hasira kuleπ€£π€£π€£π€£, najichekeaga tu pembeni.poleee π π ,, mwenzangu mi sielewi kama wenzetu wanapewaga kwa mafungu loh,, ilibaki kidogo niumbuke ndo nikajiwahi
Karibu karibu na ulivyo na pilipiliπnionjeshe vitu vya zanz... π
acha tu na hivi mpaka saivi ni bila bilaπ ππ€£π€£π€£π€£,Wana hasira kuleπ€£π€£π€£π€£, najichekeaga tu pembeni.
vitu zangu kabisa,, hebu toa location πKaribu karibu na ulivyo na pilipiliπ
Nibless bas Warda na liselfie moja amaizing.Poker njoo huku tunasubiri sms ya maokoto.View attachment 3635453
Poker bhana,mbona Sina selfieNibless bas Warda na liselfie moja amaizing.
ππππacha tu na hivi mpaka saivi ni bila bilaπ π