Huu mguu nimemuona mtaani kwetu LeoπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Hiyo ni picha ya mwaka 47 Mjukuu π€ͺHuu mguu nimemuona mtaani kwetu LeoπΆββοΈπΆββοΈπΆββοΈ
Aaaah,sitaki kuamini.Hiyo ni picha ya mwaka 47 Mjukuu π€ͺ
Wazee mnachomekea balaa
Nipo.Ngoja nipite zangu sasa
mshamba_hachekwi usiseme sijakuita
Enhee hutaniwi Crush π nikajua umelala?Nipo.
hahaa nilale kwa raha gani?Enhee hutaniwi Crush π nikajua umelala?
Raha hii hiiπ π , pita basi mnyamwezi ili nikalalehahaa nilale kwa raha gani?
Ofisi yenu inapendeza sana...
πKojoa kalale sipiti tena π
UchoyooooooooπKojoa kalale sipiti tena π
Kama wa kwako π₯°Uchoyoooooooo
Mi napita kama upo tayari sema dihaKama wa kwako π₯°
Watu mna maringo...Kumbe watu wapo macho hivi basi tena π mshamba_hachekwi
πββοΈπ yapi tena?Watu mna maringo...
Pita nipo πMi napita kama upo tayali sema diha