yani acha tu, leo mshamba kashindwa kuvunga kabisaπππSisi wa buzebazeba tunanangwa sana humu jukwaani aiseeew!π
haya nimetuliaπTulia basi la mamaπ
Ana shida huyu muhayaπyani acha tu, leo mshamba kashindwa kuvunga kabisaπππ
huko bukoba kaenda lini? sio kaskazin tena kwa yule bby wako cha pombe πππAna shida huyu muhayaπ
Kaskazini ana maringo hivi? Ila inawezekana maana chapombe nae uhaya ni mwingi!πhuko bukoba kaenda lini? sio kaskazin tena kwa yule bby wako cha pombe πππ
Si uliringa mwenyewe kupita alfajiri!Kumbe Huu uzi bila kuvizia vizia utaishia kuona text replies na memes tu!π
Mbona nilipita lakini sema sikukaa sana πSi uliringa mwenyewe kupita alfajiri!
Au sioMbona nilipita lakini sema sikukaa sana π
Nitajaribu tena muda huo.Au sio
Haina noma!Nitajaribu tena muda huo.
Ban Inaitwa kifungo huru.Haina noma!
Hivi umepigwa ban au umeweka pambo tu?
Kumbe! Ulifanya kosa gani?Ban Inaitwa kifungo huru.
Eti nimekuwa nikitumia "Strong language"Kumbe! Ulifanya kosa gani?
Duhh sehemu gani?Eti nimekuwa nikitumia "Strong language"
Humu jukwaani kwenye nyuzi mbalimbali π!Duhh sehemu gani?
Ulikuwa unatukana raia sioπ€£Humu jukwaani kwenye nyuzi mbalimbali π!
Tunasubiri uanze wewe...