Mzee wa kuongeza chumviπ πShesRise_1 fanya kunibless
Amina ππ»Utabarikiwa na Bwana π
Oyeee π , daaah ndiyo kisa hiyo issue ya miguu? Basi kula Samaki sanaNyama oyeee picha ya zamani.Siku hizi ni majani tu ka mbuzi .
Amen, pita chap kwaAmina ππ»
Miguu na uzeee π πOyeee π , daaah ndiyo kisa hiyo issue ya miguu? Basi kula Samaki sana
Polee sana utu uzima dawa wanasema πMiguu na uzeee π π
Angalia namna, sitaongeza chumvi awamu bali ntatia chachandu mwanamke mwenye shepu lake selfika nzima.Mzee wa kuongeza chumviπ π
Hapa tayali umeharibu aiseeeAngalia namna, sitaongeza chumvi awamu bali ntatia chachandu mwanamke mwenye shepu lake selfika nzima.
ππ π π we Ras una yako na yule Mangi mwenzako ulisema hivi hivi? Unafanyaga utafiti wapi?
ππ
Kama Wema vile πΉπΉπ€π
Maka hansamu boy wa selfika π»ππ€£π€£
We mjanja mjanja mno sikuamini πΉHutaki kuniamin?
Kivipi? SijakuelewaHiyo aya ya pili ni kweli?
We nyoko acha kutuponda πΉHumu utachoka na Mishangazi. Ukitaka beautiful ladies karibu IGπ
Kwahiyo tuliopo ig ni mashangingi πΉπΉIg ndo Kuna mashangingi sasa kule.
Hujanielewa, nimesema na mimi nivae tumbo bandia kumsapoti wog km kwenye bebi shawa ya wema. Si uliona wapambe walivaa mimba bandia.Kwamba wema kavaa tumbo Bandia?
Nimekuelewa vizuri sana, mimi nimekuuliza wewe kama swali?Hujanielewa, nimesema na mimi nivae tumbo bandia kumsapoti wog km kwenye bebi shawa ya wema. Si uliona wapambe walivaa mimba bandia.