Nipo baby rasiπMsiseme sijawaita πΆββοΈ
Fanya kile uliniahidiπNipo baby rasiπ
Una endeleaje chica, upo vizuriFanya kile uliniahidiπ
Leo sipo poa kiafya rasii, kikohozi mafua na baridi kali mno ,hivyo ahadi yangu bado inasimamaFanya kile uliniahidiπ
Naendelea vizuri, now nipo sawa kabisaUna endeleaje chica, upo vizuri
Polee sana Ras, Mungu akufanyie wepesiLeo sipo poa kiafya rasii, kikohozi mafua na baridi kali mno ,hivyo ahadi yangu bado inasimama
AminaPolee sana Ras, Mungu akufanyie wepesi
Jana nilifunga na kusali usiku mzima upone,Naendelea vizuri, now nipo sawa kabisa
Yanaishaje kirahisi hivyo nipo nawe mpaka useme ππDah! Asanane tena jamani si yalisha isha hayo tugange yajayo π
Unaongea na bingwa ujueYanaishaje kirahisi hivyo nipo nawe mpaka useme ππ
Halafu dosho na wewe huwa mnafanana tabia zenu jukwaaniYanaishaje kirahisi hivyo nipo nawe mpaka useme ππ
Onhoo jamani asante sana ππ,Jana nilifunga na kusali usiku mzima upone,
hivyo ukipona kabisa acha maagizo kwa mangi nichukue kinywaji nnachotaka bili juu yako
π π usiniambie bingwa wa Bahati nasibu hebu kaa kwa kutulia asenaneUnaongea na bingwa ujue
Sasa si nimekesha nakuombea πOnhoo jamani asante sana ππ,
Ila asenane una mambo bill juu yangu tena? ππ
π π π we Ras una yako na yule Mangi mwenzako ulisema hivi hivi? Unafanyaga utafiti wapi?Halafu dosho na wewe huwa mnafanana tabia zenu jukwaani
Utabarikiwa na Bwana πSasa si nimekesha nakuombea π