Selfika na JF: Snap it. Show it

Girlfriend wangu wa kipindi hichooo miaka ya nyuma huko aliniambia nafanana sana na Denzel.

Nikamshukuru, nikamwambia lakini si kweli kwamba ninafanana na Denzel, Denzel ndiye anafanana na mimi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Well, moja lazima afanane na mwenzie au sio 😁

Hopefully you are aging just as well as your lookalike maana nilikua namwangalia majuzi, nikajikuta nakubali mwenyewe, dude's still a looker!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…