Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,504
- 9,946
πππππ mi napenda kuongeleshwa kwa upole kabisa,,, Tresor Mandala ndo kanifokea ile mchana π
Ijumaa twende vacay basi, nimeipendaπnimepita saivi
asante ma mchuu wanguπ saivi nimenona kidogoAww mtt mzuri kumbe umenenepq hivi?
Ila ulo vzrπ₯°
Mbona huwa natenga shem huonagi sumu zangu humuπ₯΄Ila huyu ni ndugu yangu Tresor Mandala .
Jmos hii tukikutana kwenye mazoez kule osteybay nitamuambia asikufokee. Ww ni last born wa Melo.
Alaf shem Seran sio kila siku mabia.
Hebu tenga siku moja ya kutoa sumu kwa mwili ππππ
imeisha hiyooo mimi teinaa, na jmos nitakua offIjumaa twende vacay basi, nimeipendaπ
Swadakta
Em selfika unaogopa nini?Tena hiyo j2 unikumbushe. Naweza kusahau ππππ.
Rafiki Mimi nikufokee wewe KWELI?πππππ mi napenda kuongeleshwa kwa upole kabisa,,, Tresor Mandala ndo kanifokea ile mchana π
utakua umenisaidia mnoo,, mchana kanifokea nusu nilie πππ,,Ila huyu ni ndugu yangu Tresor Mandala .
Jmos hii tukikutana kwenye mazoez kule osteybay nitamuambia asikufokee. Ww ni last born wa Melo.
Alaf shem Seran sio kila siku mabia.
Hebu tenga siku moja ya kutoa sumu kwa mwili ππππ
Hahahaha, MtumishiIli kiwe nn
Haha
umejisahaulisha ile mchana?πRafiki Mimi nikufokee wewe KWELI?
umeridhika sasa,si ndioSwadakta
Nikapitwa paleπ
Hata we ni wake ndiomaana upo humu! Hao wake aliwapigia simu wajiunge jf?utakua umenisaidia mnoo,, mchana kanifokea nusu nilie πππ,,
mi ni last born kwetu sio kwa melo brooo melo anao watu wake
wea hevu yu bin?π€Nikapitwa paleπ
Wakili pita basiπNikapitwa paleπ
namaanisha watoto πππHata we ni wake ndiomaana upo humu! Hao wake aliwapigia simu wajiunge jf?
Yaani hapa hata usingizi Leo naeza kupataumeridhika sasa,si ndio
Sasa watoto wake wapo humu?namaanisha watoto πππ
Huko na huko kama shwataniπwea hevu yu bin?π€