Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama kweli uongo ni dhambi, saa hizi wewe meli yako ya kontena ishajaza inatoka bandarini na kwenda kwa mungu ๐Ÿคฃ
Makaveliiiiiiiiiii ๐Ÿ˜น
Wee bhana hata tutoto tukizaa tutatoka tuzuri..!! Mi nna karangi na wewe una zile rangi ninazozitaka basi hatareee tupu..!!

Sema watoto watakuwa vicheche sasa, baba yao aaahh kwenye kwichy Azam tv burudani kwa wote..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ