Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,015
- 13,353
Hio mbaya inabidi nianze pitia comments moja moja wazifuteWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii ๐
Duh๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐Nlitaka nikutolee mfano wa binti mkali JF sema nliona wenzako watajiskia vibaya.
Tumewaachia muangalie na nyie mliokuwa offline mwee๐คฃWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii ๐
Magical girl wa kuchovyaNa ninamuoteaga sana ๐ sema humu nina bahati napo sana
Pita basi mamaake nataka kwenda ibadani๐ฅฒDuh๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐
Yupi tena? ๐นMahi wako amepita naked ๐ฅ๐ฅ
Zangu zipo wapi mahi๐คฃWatu wakikureply kwenye picha haifutiki inabaki, inabidi ukipita watu wasiquote ile picha yako.
Ila wabongo sasa hawasikiii ๐
Ni mbaya kweli mimi ndiyo maana niliacha kupita humu mambo hayo hayo Dc akasave picha yanguHio mbaya inabidi nianze pitia comments moja moja wazifute
Ambition plusYupi tena? ๐น
Sitaniwi ujue Poker ๐คฃTuma namba uokote ShesRise_1 nishauza gunia moja tayari
๐น๐น๐น Mpuuzi yule..Hapa labda nimtumie mbaga picha nimpe na showergel ya dove akasisimue Misuli
๐๐๐ aku sitaki hayo mamboTumewaachia muangalie na nyie mliokuwa offline mwee๐คฃ
Sasa chicca unatakaje kila kitu hutaki?๐๐๐๐ aku sitaki hayo mambo
Winga wa ku chovya ๐คฃ๐น๐น๐น Siwezi bana nazingua tu kijiwe kichangamke..!!
Gallery yangu imejaa pics za vijora mi nawaza pesa nitazitoa wapi..!!
Iini tena jaman?
Hebu pita bwana๐น๐น๐น๐น Endeleeni kuselfika waungwana..!!
Nimeona umeweka sura ๐Please ni tag ni comment ipi? Bhasi ziko nyingi humu
๐๐๐ subiri utajioneaZangu zipo wapi mahi๐คฃ
Nioneshe wewe hapo ๐คฃ๐๐๐ subiri utajionea