ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,432
- 41,339
Asante shem whith @Labela ππββοΈπββοΈπββοΈBeautiful indeed π
Huyo chalii yako kaz anayoMama Kazaa, Mungu kaumba ππ
Nyie wenzetu mlitoa special order kwa Sir God? Mbona mpo washwitiii π₯°
Dah! Halafu mrembo km huyu eti kuna fala anamringia? Wewe hutaki hata kufokewa ni kupetiwa petiwa tu..!! π»
Shemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperukaAsante shem whith @LabelaππββοΈπββοΈπββοΈ
Dah leo nimejua kucheka uzuri sijihushi na issue za mapenzi mahiMama Kazaa, Mungu kaumba ππ
Nyie wenzetu mlitoa special order kwa Sir God? Mbona mpo washwitiii π₯°
Dah! Halafu mrembo km huyu eti kuna fala anamringia? Wewe hutaki hata kufokewa ni kupetiwa petiwa tu..!! π»
Your exceptional beauty must match your character. Ukorofi hufananii kabisa na ni wazi huwa unajilazimisha tu. Not cool! πKwanini sasa π
Mtoto mtramu wewe πΉNachekaaa mimi we binti punguza basii
Aww, achachaa uko na dimples?πMi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue πΉ
Umeona eehh πΉVijana sijui wanakwama wapi, vyombo vipo aisee
Jiiiizozi! π³π³π³π³Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue πΉ
Wana Jamii forum njooooooooooooooooooooooooni muone Bismillah MashaAllah π₯°π₯°π₯°π₯°Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue πΉ
Wallah hebu fungulia watu hio private messages, kwanini lakiniUmeona eehh πΉ
πΉπΉ Hapo chacha kwenye chaliiHuyo chalii yako kaz anayo
Upo??Shem selfika sijawahi kukuona ukipita..! πΉ
Wewe sijui wangapi unasema hivi so inabidi niweje sasaπYour exceptional beauty must match your character. Ukorofi hufananii kabisa na ni wazi huwa unajilazimisha tu. Not cool! π
Uko single na chumba cha message umepiga kufuli? Hebu acha bana kutuchezea akiliπΉπΉ Hapo chacha kwenye chalii
Niko single mimi hawanitaki eti mkorofi..!!
Wewe mi sina bwana humu πΉAsante shem whith @Labela ππββοΈπββοΈπββοΈ
Hamna pacha, kiwanja kipi akati niko nanjilinjiHili dundo lenyewe π»
Pacha kwa code umeshindikana, unatupia vitu km upo kiwanja..!!
Oya nilikuwa busy na msosi, sijaona ulivyo rukaAsante shem whith πββοΈπββοΈ