Aaah wewe sasa umezidi, una kipilipili?Rangi tu zinawachanganya hao, imagine mimi wa kwangu hata nywele simfikii🤣
Naomba uwe unanitunzia risit maana nakutanaga na vitu vya ajabu ajabu tu🤭Warembo wapo wengi tu, uwe unavizia selfika za wadada wapole humu binti kiziwi, nifah ushangae
Ndio, namaliza ela zangu kwa bonniestyles_ ni vichekesho😆Aaah wewe sasa umezidi, una kipilipili?
UsijaliNaomba uwe unanitunzia risit maana nakutanaga na vitu vya ajabu ajabu tu🤭
We ni mama boy? Nmeona ka-junya pembeni kabonge😂Usijali
Ndio! Na mwingine anakuja naombea awe pia boyWe ni mama boy? Nmeona ka-junya pembeni kabonge😂
Kwanini hutaki vidada?Ndio! Na mwingine anakuja naombea awe pia boy
Naona raha vile wenye watoto wa kiume wengi wanaitwa mama boys, sijawahi kuona mwenye watoto wa kike anaitwa mama girlsKwanini hutaki vidada?
Tupia nikuoneZa asubh wanaselfika
Ni raha kwakweli mine huyu 3 yrs ago! Now mbaba!Naona raha vile wenye watoto wa kiume wengi wanaitwa mama boys, sijawahi kuona mwenye watoto wa kike anaitwa mama girls
🙌Kumbe una sura nzuri hivi? Mbona kama wewe ni mpare?Ni raha kwakweli mine huyu 3 yrs ago! Now mbaba!View attachment 3602073
Sura ya kibabe, sukuma moja hiyo🤣🙌Kumbe una sura nzuri hivi? Mbona kama wewe ni mpare?
Mimi huwa sijazi watu uongo, nikiona mambo hamna huwa napita kimyakimya tu.Sura ya kibabe, sukuma moja hiyo🤣
Unaona umeanza kunijaza, ni mwendonwa kujazana mibichwa tu selfika🤣
Msukuma pure kabisa! Uwe unawajaza wajisikie vizuri buana!🤣Mimi huwa sijazi watu uongo, nikiona mambo hamna huwa napita kimyakimya tu.
Msukuma pure au umechanganya
Unafiki siwezi bora nikae kimyaMsukuma pure kabisa! Uwe unawajaza wajisikie vizuri buana!🤣
Nakuvizia sijawahi kukukamata o weweSura ya kibabe, sukuma moja hiyo🤣
Unaona umeanza kunijaza, ni mwendonwa kujazana mibichwa tu selfika🤣
Kuna siku nilikuta sifa zimemiminwa page mbili balaa, hmm nikasema labda kweli, uweeh siku nikafuma kinachosifiwa🥲🤦🏽♀️Unafiki siwezi bora nikae kimya
Dadaake! Hebu pita kwanza bado tumelala na hiki kimvua😁Nakuvizia sijawahi kukukamata o wewe
Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu hujui?😂Kuna siku nilikuta sifa zimemiminwa page mbili balaa, hmm nikasema labda kweli, uweeh siku nikafuma kinachosifiwa🥲🤦🏽♀️