win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,839
- 29,990
nimekoma 👐😢Umechangia kutuleta huku 😂
nimekoma 👐😢Umechangia kutuleta huku 😂
Koller 😂🤠😂🤠😂Cheki kama cannavaro wa free 😂😂
haya kaba header hizo![]()
![]()
Jambia 😂Huwa unatumia panga🤣
UmependelewaKhan wangu namuaminia kama bae wangu😂
Ataacha ndala😂Koller 😂🤠😂🤠😂
Ni kawaida Kwa last born😂Umependelewa
Hawezi kukulinda huyo, mnanizidi kete hapa sababu inabidi nijibu comment moja moja 😂Warld nilikwambia siwezi vita ukasema utanilinda kwa mapanga na marungu,, wera auuuuuu 🗣🗣
Waambie tu Kama unataka kupita naked watulie maana Daahnimekoma 👐😢
Huo wema labda uanze baada ya kufa manunu 😂🙌Angejua sina wema 😂🤠😂🤠😂
Jambia 😂unamuua na nini mwanetu😅
Fanya unikaushe tu ili ma mkali Tayana-wog asibaki mpweke 😂Choma moto kama wahindi
Fala wewe unalag kama drogba wa daily gameHawezi kukulinda huyo, mnanizidi kete hapa sababu inabudi nijibu comment moja moja 😂
Atakuja na 1-2 pass.Haya sasa apa hakuna kushambuliana.
Tujipange kuzuia shambulizi la Corrie de killer kulia cannavaro kushoto bonucci
😂🤠😂🤠😂
Nawe pia ma mkali, ulale unono 😘