Uwe unawahi sit ya mbele mkuu.Kila siku na chelewa hapa
Marhabaa, Ulale Sasa, wazee tunataka kupitaHeshima yako mzee
umefanyaje fanyaje mpka huto tu kitu tumetokea? mi bado mgeni wa smart phone 😎 naomba kufundishwa
TAtizo kuwahi siti siwezi.Uwe unawahi sit ya mbele mkuu.
Njoo nikufundishe Rafikiumefanyaje fanyaje mpka huto tu kitu tumetokea? mi bado mgeni wa smart phone 😎 naomba kufundishwa
why boxer? hizo nazijua nataka kuona ile t shirt yako ya njano na wekundu😅😅😅Unataka kuona tena? Boxer au ...
location ni ganiNjoo nikufundishe Rafiki
Huyu ni Na kel Smith, kumbe yupo JamiiForum?
Hahahaha hiyo nimeiloweka Rafiki,dahwhy boxer? hizo nazijua nataka kuona ile t shirt yako ya njano na wekundu😅😅😅
Pale pale ,kwa Mzee ndulelocation ni gani
hay tupia nione umevalia nini saiviHahahaha hiyo nimeiloweka Rafiki,dah
karibu last born wetu😊Wakubwa
sawa nitakuja kesho mchanaPale pale ,kwa Mzee ndule
Aagh we kesho ,😂🤠😂🤠😂TAtizo kuwahi siti siwezi.
Saa nimekuambia nimevaa msuli, naangalia tanzania safari channel,🤣hay tupia nione umevalia nini saivi
Huu ndio muda mzuri wa class,kumetulia somo linaingia vzrsawa nitakuja kesho mchana
pembeni kuna mbege😅😅Saa nimekuambia nimevaa msuli, naangalia tanzania safari channel,🤣
weeee naijua hiyoHuu ndio muda mzuri wa class,kumetulia somo linaingia vzr