sijaelewa hebu nieleweshe vizuri unamaanisha niniNimeona hujalock pazia la hekalu soon utanikuta nimo ndani na mashairi yangu, hili nimegundua halihitaji maombi mengi.
Pmsijaelewa hebu nieleweshe vizuri unamaanisha nini
this language sasa,,, ujue sijaenda shuleπͺIf you're proof of God's patience, then perfection exists.
oooh kumbe hivyo
Wewe ni mfano wa ukamilifu duniani, ikiwa Mungu alivumilia kutumia muda mrefu kufinyanga ndiyo sababu umeumbika haswa.this language sasa,,, ujue sijaenda shuleπͺ
weeee,, mbona maneno kuntu hivyoooππWewe ni mfano wa ukamilifu duniani, ikiwa Mungu alivumilia kutumia muda mrefu kufinyanga ndiyo sababu umeumbika haswa.
Sijui yametoka wapi. ππ€ ππ€ π Ama ndiyo kuchanganyikiwa.weeee,, mbona maneno kuntu hivyoooππ
nimecheka,, labda tuite kupagawaπ,, na mbona yamenyooka vile? nisiwe muongo nimeyapentaaaaππSijui yametoka wapi. ππ€ ππ€ π Ama ndiyo kuchanganyikiwa.
Hahahahaongea nae vizuri anaweza kufanya kweliπ
Nimepitwa na Nininimecheka,, labda tuite kupagawaπ,, na mbona yamenyooka vile? nisiwe muongo nimeyapentaaaaππ
na mapicha pichaπ€πNimepitwa na Nini
Hebu rudieni,ujue nime miss Ile flat tummy,na mapicha pichaπ€π
Furaha ieyendane n kuselfika, itapendeza zaidiNmefurahi kusikia hivyo na najiona nkipata win into this one lady. win-one , π€©π€©
I don't want forgiveness, cause you're my favorite sin..π maneno yako yanafurahisha, hivi hauogopi laana ya vibibi? π
saivi nimeshiba kande nimekua na kiliba tumbo no flatHebu rudieni,ujue nime miss Ile flat tummy,
Maneno matupu, siwezi kuaminisaivi nimeshiba kande nimekua na kiliba tumbo no flat