Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,015
- 13,353
Stunning πMid heels inanifaa km hii
Brand ya Torino itakufaaa mtoto mzuri ? Nikuchulie na kikukuu πMid heels inanifaa km hii
Mi mshangazi ujue usishtuke πΉπΉNimekuja
Awwww ππStunning π
Torino πΉπΉBrand ya Torino itakufaaa mtoto mzuri ? Nikuchulie na kikukuu π
Yaani ndiyo nafika nakutana nayo nikasema waaah πππΉπΉπΉ Chica kumbe upo?
Umeniotea πΉπΉπΉYaani ndiyo nafika nakutana nayo nikasema waaah ππ
Torino πΉπΉ
Mi nataka channel bana..!!
Uje tule sasaMimi ni kulala na kulala tena
Nakumbuka ni mmoja tu ndio nimemwaidi, simkumbuki jina, ila mpaka sasa mmekuwa watatu. Haya na wewe ni mguu namba ngapi? Angalizo sijui narudi liniAwwww ππ
Halafu nakudai sneaker ulisema utakuja nayo mwaka huu..!! Unakumbuka?
Km kweli vile utavinunua πΉπΉπΉππ channel wanauza center zipi ?
Torino ni wataliano hao nao wanakazi nzuri sana . cheki insta
Torino Tanzania (@torinotanzania) β’ Instagram photos and videos
Sio lamomy huyo ulimuahidi? πΉπΉNakumbuka ni mmoja tu ndio nimemwaidi, simkumbuki jina, ila mpaka sasa mmekuwa watatu. Haya na wewe ni mguu namba ngapi? Angalizo sijui narudi lini
Mie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka πKm kweli vile utavinunua πΉπΉπΉ
Channel za kkoo bana..!!
Channel bongo hawana duka mpk Dubai sehemu ya karibu..!!
Nimeangalia nimecheka, karibu vyote ninavyo aiseee..!! πΉπΉπΉMie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka π
Hata ukubwa wa Punje ya haradali bado kabisaππBasi utakua unamkaribia πΉ
Hii slipper nzuri π»Mie K.koo huwa siendi sasa, alafu utavaaje maronya ronya ya kkuuu mtoto mzuri kama wewe banaaa, angalia hapo Torino kimoja nitumie unachotaka π
Me mwaisa mkuuπBasiiiiiiiiiiiiiii mwalemi sito..!!
Si umesema bi mkubwa wako mkinga?Me mwaisa mkuuπ