😂😂🙌🏾Razorblade
Kwahiyo ndo nimzalie huyu???kuniacha hawezi labda mi niamue🤣🤣
Ngoja kamati ikae
Selikavu na Edo kissy
Hawa hawaeleweki penzi lao hatujawai ona hata wakipetiana😃😃si mnasemaga wanao gombana sikuzote ndo wanao pendana🤣🤣 au mshahama huko
Mubaba si unaye mmetoka mbali kabisaSi anatqka aitwe antii🤣🤣
Sio mimi nilikatazwa😃😃Si ndo zenu
Mnakula vyakula vya watt🤣🤣🤣
Joined tu inaonesha wewe mkubwa shikamoo kaka mkubwa🙌🏾Binafsi umenizidi Shikamooo Braza kaka 🤣
Kila mtoto huja na Sahani yake😃😃🤣🤣🤣🤣
Mna helq za kumtunza huyo mtt??
Account nilinunua😃😃Joined tu inaonesha wewe mkubwa shikamoo kaka mkubwa🙌🏾
nimechekaaa,, sasa huko mbali kuna hizi supplement za kutumia before conceiving, during pregnancy and breastfeeding zinauzwa elf 40😄😄,, bado dawa za kuzuia morning sickness alooooo si mchezoUnajuq maziwa sh ngapi sahivi??
🤣🤣elf 80 kopo ...na halimalizi wiki
Kufungua kadi tu 50k🤣
Bado mambo mengine ...🏃🏃🏃
Famchezo nn
Labda ndugu yake aliyempambamia atuambie Selikavu
Eti mtaweza ??mna hela??🤣🤣
Wewe umetoka wapiOf course they should be
Kwasisi tuliokula chumvi nyingi kidogo, raba ni muhimu sana kuvaa kuliko aina nyingine ya viatu kutokana na urahisi wake (kutokuwa vizito miguuni)
umetoka kusema mwenyew alf unakana, kaka m baya wew😄Me sio Toto tundu😃😃😃
Mpk ifikie 2040 tutazaa kwel😏nimechekaaa,, sasa huko mbali kuna hizi supplement za kutumia before conceiving, during pregnancy and breastfeeding zinauzwa elf 40😄😄,, bado dawa za kuzuia morning sickness alooooo si mchezo
🤳Wewe umetoka wapi
Daah😂🙌🏾tokaaaa ka eddy bado kadogo sidhani kama kameanza hata kunanilii😄😄😄
Hapana nimesema watoto tunajiongeza sana😃umetoka kusema mwenyew alf unakana, kaka m baya wew😄
Raisi😂🙌🏾Ngoja nika tafute ndevu na kipara cha bandia kwanza
Nimelia sana🤣🤣
Napinga😂🙌🏾Account nilinunua😃😃
Muulize melo ndo alikua winger🤣Napinga😂🙌🏾
Sana kaka Hadi kwikwi zimenishika🥹Nimelia sana🤣🤣