Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,447
Imebidi niirudie kusoma ka ni wewe, maana huchelewi kusema intelli uchokoraa umeanza lini ๐Wakaka wa humu mnavaa kitu cha leather VAns ๐ป๐ป๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Pacha hiyo code ya moto sana ๐ป
Jamani mbona mi sina tatizo ๐นImebidi niirudie kusoma ka ni wewe, maana huchelewi kusema intelli uchokoraa umeanza lini ๐
Wooowww ๐ป๐ป๐ป๐ป
Jamani kumbe JF ina mikaka mihanshamu hivi?
Code ya chini unyama sana ๐
Jeans imetulia mahala pake, mpare wa moto weyeee ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ป๐ป
Sema usiwe una quote picha bhana, chukua maneno ili mtu akifuta isepe jumla.Jamani mbona mi sina tatizo ๐น
Umewaka bana pacha hiyo leather Vans unyama sana.. ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Angalia vzr kuna vngn umenizidi ๐Unyamwezi familia, sema nimekuzidi urefu tu.
Pic yako iko wap nasubir ๐Sema usiwe una quote picha bhana, chukua maneno ili mtu akifuta isepe jumla.
Edit kwangu na kwa mbaga uondoe picha pacha
Mi naogopa kisu jamani usinitishie tena ๐ฅ
Angalia ka ni quote labella, nilipo sema intelli fvckin worldPic yako iko wap nasubir ๐
Kwani haijatoka?Sema usiwe una quote picha bhana, chukua maneno ili mtu akifuta isepe jumla.
Edit kwangu na kwa mbaga uondoe picha pacha
Ah Kumbe h ilikuwa na picha, mm sijaona umewahi kuifuta
Bado haija toka, edit pacha uwe mnyamwezi sasaKwani haijatoka?
Ngoja ni edit
Bado siionAngalia ka ni quote labella, nilipo sema intelli fvckin world
Mbaga Jr angalia alicho quote huyo kenge, kwenye message yangu utaona PichaWakaka wa humu mnavaa kitu cha leather VAns ๐ป๐ป๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Pacha hiyo code ya moto sana ๐ป
Pumbavu ๐JF kwa mara ya kwanza nimeona likaka lizuri lenye mitupio yake ya kimamtoni ๐ป
Bwana mjeshi umekuja kukamata raia Ukiwa umechoka sana ๐Kijana wa kisomali nimepita
View attachment 3585599
Bwashee ndio maana kwepa sana kupita , humu mna dharau sana๐ฎBwana mjeshi umekuja kukamata raia Ukiwa umechoka sana ๐
Unatuona sisi wajinga๐คฃ๐คฃ๐คฃKijana wa kisomali nimepita
View attachment 3585599