Safi, mimi pia weekend moja moja nacheza mpira kwenye team yetu ya street ni kiungo tegemeo, hivyo sio mlevi tu , mazoezi na michezo hasa mpira wa miguu na volleyball ndio kwangu huko🤗kwa treadmill 1 hr
re
kiungo tegemezi🤣🤣🤣🤣Safi, mimi pia weekend moja moja nacheza mpira kwenye team yetu ya street ni kiungo tegemeo, hivyo sio mlevi tu , mazoezi na michezo hasa mpira wa miguu na volleyball ndio kwangu huko🤗
Tatizo lako unanichukulia poa😀kiungo tegemezi🤣🤣🤣🤣
siamini
hivi pombe haiathiri matokeo ya mazoezi?Safi, mimi pia weekend moja moja nacheza mpira kwenye team yetu ya street ni kiungo tegemeo, hivyo sio mlevi tu , mazoezi na michezo hasa mpira wa miguu na volleyball ndio kwangu huko🤗
Mwili ukiwa kwenye recovery mode baada ya kunywa pombe sifanyi mazoezi kabisa , ni kula matunda sana na maji na mboga mboga , nikiwa poa ndio napasha sana , nikimwambia mtu anae nijua natumia pombe hauwa anakataa kabisa 😀hivi pombe haiathiri matokeo ya mazoezi?
coz mimi junk food tu naziogopa
i cant go through all that aiseeeMwili ukiwa kwenye recovery mode baada ya kunywa pombe sifanyi mazoezi kabisa , ni kula matunda sana na maji na mboga mboga , nikiwa poa ndio napasha sana , nikimwambia mtu anae nijua natumia pombe hauwa anakataa kabisa 😀
so inakubid gym na gambe zipishane siku moja moja?Mwili ukiwa kwenye recovery mode baada ya kunywa pombe sifanyi mazoezi kabisa , ni kula matunda sana na maji na mboga mboga , nikiwa poa ndio napasha sana , nikimwambia mtu anae nijua natumia pombe hauwa anakataa kabisa 😀
Hahhaa mazoezi ni sehemu ya maisha yangu , pombe ni kinywaji tu cha mara moja moja , usidanganyike na kuropoka kwangu huku jf😀so inakubid gym na gambe zipishane siku moja moja?
🤣🤣🤣
haya banaHahhaa mazoezi ni sehemu ya maisha yangu , pombe ni kinywaji tu cha mara moja moja , usidanganyike na kuropoka kwangu huku jf😀
Bado nitatupia tuhaya bana
tupia ya asubuh
u ready????Bado nitatupia tu
Naona tayari 🤗u ready????
hujatupia hadi sasaNaona tayari 🤗
Nmetingwa tu nikipata wasaa mzuri nitatupia , nakumbuka sanahujatupia hadi sasa
Looking cute babe😍good night from this side, ma mchungaji leo ninayo ingine Tayana-wog Seran uliho?
hiyooo looking cute sasa enwei senki yu swee 😊Looking cute babe😍
Ukweli usemwe jamani mwee!😃hiyooo looking cute sasa enwei senki yu swee 😊
sasa hapo kilicho cute ni kipi hebu usinichekeshe😅😅,,, karibu michembe kwanza hivi unaifaham?Ukweli usemwe jamani mwee!😃
Nisiifahamu vipi mimi toto la kisukuma😂sasa hapo kilicho cute ni kipi hebu usinichekeshe😅😅,,, karibu michembe kwanza hivi unaifaham?