Huhuhuhuhupolee, on ma way kukuletea tiba yako sitaki uskip dose🥰 Poker
HohohohohoHuhuhuhuhu
mi nakaaga kijijini sikuzote, siendagi hata town😪Vp usharudi town au bado uko kijiji?
Nikwambie alipo?We nipe location nisogee hapo ulipo, ikishindikana niambie nauli shs ngap nitume win-one
mahii umeanza uchuro eeeh🤣🤣 huyo hawezi kufika huku kwetu acha mie niwafuate huko mjini jamaniNikwambie alipo?
Embu niambie alipo, maana nimepokea kiinua mgongo changu nataka anishauri nikitumieje.Nikwambie alipo?
Endelea kujizima data ukiendelea kumzungusha mi namwambiamahii umeanza uchuro eeeh🤣🤣 huyo hawezi kufika huku kwetu acha mie niwafuate huko mjini jamani
Nishamwambia alegeze kamba akiendelea kukaza nishatueEmbu niambie alipo, maana nimepokea kiinua mgongo changu nataka anishauri nikitumieje.
haya nwambie sasa aje kukutana na bundi plus fisi😂😂Endelea kujizima data ukiendelea kumzungusha mi namwambia
Furaha yangu nikuona wapendanao🏃♂️🏃♂️
nipo iringa ndani ndani kabisa,, hiyo zawadi ya aifonii mpe shoga angu ShesRise_1 anitumie huku jijini kwetu anapafahamu fikaa👌We niambie uko kijiji kipi mi wala siogopi fisi na hao bundi. Maana ulivonikaa kichwani hata mate nikimeza saivi hayapiti.
Nataka nikununulie na zawadi ya iphone 17 unasemaje win-one
Darlingnipo iringa ndani ndani kabisa,, hiyo zawadi ya aifonii mpe shoga angu ShesRise_1 anitumie huku jijini kwetu anapafahamu fikaa👌
abee sweetheart😊Darling